ukiwa na mutoto laha sana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 06:23:55
46
Samia ramadhani :
nani mwingine anajua kama snap asahv ina buibui[Tears of joy]
2026-10-14 06:30:29
26
Risk Taker🪖 :
Kiti ataki Ugali Kuna mwingine uku kila ikifika usiku anaumwa Oma ya Chips ngoja niludi leo😂
2026-10-14 06:35:23
57
JABA :
hiii dunia tutaona mengii mung tupe uhaiii
2026-10-14 05:26:23
47
Mshangazi Badra :
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima
X wangu Aka lopoka
Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja
2026-10-14 07:10:53
9
Amina Mbuwa :
Mungu umeumba watu tofaut wallah [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-14 08:40:57
0
Kichunanah🥀 :
🤣🤣🤣nimekumbuka mbali sana jaman niliwahi kupandisha majini et hatakiwi kuolewa huko ataenda kufa kumbe mwanaume sikumpenda 😂😂😂😂
2026-10-14 08:38:06
17
Ninah🍎 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Uwiiiiiii jmn jmn. Nimechek mm
2026-10-14 06:42:05
0
Sule_gy🍒🍒 :
😂😂😂😂😂😂😂😂 ila Nchi yangu daaaah
2026-10-14 06:32:33
14
Hamza mo :
dogo anakitu anajua
2026-10-14 06:09:16
16
Lihame_17 :
hakuna nabii aliyekula ugali jmn [Tears of joy][Laugh approved]
2026-10-14 06:35:11
2
Duxt_money :
aaaaaaaaah yuko sawa
2026-10-14 06:31:26
0
Mussa Nduwimana :
Mtoto atakiwi kula ugali 😁😁😁😂😂
2026-10-14 05:31:14
13
Mamy yusfat :
Yanii nimechekaa kwa sautii .
2026-10-14 06:24:27
3
mariam :
huyu anajin halipendi ugali kama la mwanangu ila vitoto vyahiv vinachekesha sn🥰😂😂😂
2026-10-14 06:42:13
5
amina21 :
jaman mtoto kanifulaish san
2026-10-14 09:59:22
1
Abouh branca 🤓🇿🇦🇿🇦!! :
mamaayee
2026-10-14 06:36:24
2
Alice mashaka :
😂😂😂hii nchi kuna sehemu haipo sawa
2026-10-14 08:24:33
1
furola erick :
jaman mnanivunja mbav Mimi nione eni huluma jaman🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 06:08:17
9
Nehinaa :
awa watoto wanasumbua sana Shure ya za serikali ukiuuliza kiti atakiw kusoma mathematics anatakann anataka kusoma kiswahili , ila Tanzania Kwa vipaji asa watoto saluti,🫡🫡🫡🏙️
2026-10-14 06:47:36
1
user8150204057032 :
tukiacha uongo TikTok kuna rahaaa sana😂😂😂
2026-10-14 11:30:58
1
JANETH🇹🇿🇿🇦🇺🇿 :
Mama mtu nae hapoi😂😂
2026-10-14 14:23:49
0
Chatine_14 :
2026-10-14 15:13:53
0
evelina mganga :
kumbe huu uongo mpaka kwawatoto duúuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 12:16:05
0
ADUI BRAND :
SASA SIUMTUMIE KA GIFT JAMAN
2026-10-14 14:15:41
0
To see more videos from user @scontohq, please go to the Tikwm
homepage.