me siku ya prayer day nilikuwa naona vile watu wajaribu kushika imani wengine wakilia, then I was how Satan am I? I think I was toxic guys niliona watu hadi maombi ikaisha, sai niko kaimosi friends university, wenye walikuwa wakilia sana they scored Ds and C minuses, I think God alinihurumia akih ,sorry God im humble 💖🫶🙏
2026-10-14 09:50:22
1
Tenai 🦋🍁💦 :
st John tachasis success ❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-14 05:56:37
0
Stenny chei ke🦋 :
GOD sikia maombi Yao juu uku inche is not promising 🙏🏼🧎🏼🫴🏼
2026-10-14 08:26:13
3
Precious KK❤️ Mumsheryl😍 :
Ghai,inauma sana juu nitakosa kuattend ya bro wangu na mimi ndio mama na baba wake🤭😭😭😭😢😥😰😓
2026-10-14 05:28:52
16
nancjune💋💋 :
nikikumbuka nilipiga magoti nikalia nikaomba msamaha mwenye nilimkosea na sai nauza makaa makes me feel wasted