@nasibkhalid8:

ycs college
ycs college
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 04:24:19 GMT
5215
217
21
63

Music

Download

Comments

gwamaka81
Gwamaka :
haya mafundisho hayanibariki sana unakuta baba hajitambui anakubarikije ?
2026-10-14 11:09:29
1
ernestcrafts
ErnestCrafts. :
Kama baba alifariki inakuaje?
2026-10-14 10:11:36
0
happy.kisanga3
Happy Kisanga :
kweli kabisa
2026-10-14 09:16:26
2
faustinyasintu
faustinyasintu :
ni kweli
2026-10-14 10:10:24
1
emmanuelelineus
emmanuelelineus :
@life👣🚶
2026-10-14 12:50:45
0
lightnessshirima4
mrembo wa Yesu :
km baba kakimbia familia.tufanyeje
2026-10-14 11:06:59
0
aisha.babu4
MAI :
nina ushuhuda mama anabariki sana tena sana hata kama amekuf nakwambia kwa mchungaji ili umechemka
2026-10-14 12:06:18
0
simon.kambale2
Simon kambale :
kweli baba
2026-10-14 12:27:50
0
user29372504208506
queen 👑👑👑 :
na wewe hukumuelewa rose kumbe
2026-10-14 11:53:08
0
user2416128354223
user2416128354223 :
baba ni baba
2026-10-14 12:28:55
0
happy.kisanga3
Happy Kisanga :
amen heshima Kwa Baba sofa na utukufu Kwa Mungu pekeee
2026-10-14 09:16:07
2
aisha.babu4
MAI :
mimi nimebarikiwa nakuombewa na mama yangu akiwa amefariki baba alinitesa sana ndani ya miezi 6 nilibarikiwa na wakati yeye alikua ananilaani
2026-10-14 12:04:37
0
godlistennkya
Godlisten Nkya :
Na hilo ndilo neno la Mungu lenye mamlaka ya mwisho
2026-10-14 08:19:34
3
mwanaidhemed
mwanaidhemed :
baba huyu huyu ambae hajali wanae au?
2026-10-14 10:37:40
0
user6523673683699
Jennifer obedi :
ni kweli baba hutoa baraka na mama hutoa laana muogope sana mama
2026-10-14 12:24:08
0
To see more videos from user @nasibkhalid8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About