Hii hospital ni kiboko mm niliwahi kupelekwa na madam wangu iko vizuri mnoo
2026-10-14 11:57:27
3
user812370275618 :
Suwaiq mko au ni mm tu
2026-10-14 12:46:29
2
Catherine Jeremiah :
Mungu atuwekee huyu balozi hakika huyu ndio Mungu ametujua tulivo Mungu akuweke am so happy
2026-10-14 12:42:58
1
MWANAMKE MPAMBANAJI :
ok inshaallah tutaon japo hatujiombei kuumwa
2026-10-14 09:40:55
2
WHY 🤔 ME :
wakenya Jee waigize
2026-10-14 10:45:07
0
Husna ndauko :
kwa nn msifanye na hospital ya serikal kuliko privet,
2026-10-14 12:47:47
0
Baba Rama :
Sasa wapo ambao Passport hawana wala hizo Nakala itakuwaje vile vile hiyo Hospital. Niya Private sizani kama punguzo litakuwa kubwa maumivu yapo pale pale
2026-10-14 14:33:31
0
THE FIGHTER :
MashaAllah tabarakaAllah
2026-10-14 15:10:35
0
Maryanna_clinic_saloon :
kaka Mm wanangu nimedhulumiwa na pasport yngu akaichkua naitaman namba ya balozi naumia na kuumia saana😭
2026-10-14 10:32:38
0
Dada mtz :
Alhamdulillah
2026-10-14 15:29:08
0
jujuu mehmety جويريه :
na ndo mwanzo hospital hiii ilikuwa inotumika Kwa vipimo lazima ukitoka nchini kwako wwlibadilisha tu
2026-10-14 13:39:48
0
Hemed Rashid :
boraaa alhamdullilah rabbillialahmin safii sanaa
2026-10-14 13:09:25
0
De3j@ynah🫀♥️ :
𝘔𝘢𝘴𝘩𝘢𝘭𝘭𝘢𝘩
2026-10-14 08:40:13
0
Catherine Jeremiah :
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️Oyeeeeeeeeee
2026-10-14 12:43:31
0
leyla :
asante sana
2026-10-14 12:22:42
0
Ashah Ally :
mama
2026-10-14 15:25:21
0
Blessing Mjengi :
Asante mungu
2026-10-14 15:20:36
0
Dada mtz :
hospital ipo vizuri nilitibiwa mwezi wa 6 hakika nilihudumiw vizuri igawa pesa ipo juu nilipona kabisa[Pray]
2026-10-14 15:31:22
0
Rosemary :
kuzibq jino Rial 5 au Ngap
2026-10-14 13:07:00
0
Mama Mama :
inshaallh yakweli
2026-10-14 09:08:28
0
To see more videos from user @saleh_alghazi, please go to the Tikwm
homepage.