unaongeya kweli tunaanza. kufunguka macho sasa sisi wote niwamoja tukilijua ilo tunafika mbali africa yote tupendane sote tutowe sumu tunizowekwa na wazungu tupendane sisi kwasisi
mini ni m Tanzania nakuonga mkono, baba wa taifa mwalim nyerere Ali sema dhambi ya ubaguzi sio zuri mkishaaza Anza tu kusema, hawa, sio wezetu mkiwamaliza hao, mtageukiana wenyewe
2026-10-14 19:43:06
2
Jerrysonline,katej :
Bembe to the world.
2026-10-14 20:40:20
0
peace :
anatetea wazamiaji
2026-10-14 17:45:52
2
user4134529688061 :
sisi ni ndugu inauma sana kumwita mwenzio mkimbizi
2026-10-14 20:50:13
2
Dexy Tchite 🇨🇩 :
Madeline kastko namjua tulikua na sali kanisa mmoja zanzibar
2026-10-14 21:04:23
2
Erick :
pamoja sana baba
2026-10-14 16:45:56
4
Kansela55 :
me japo sina elimu sioni maana ya muafrika kutengwa ndani ya afrika
2026-10-14 22:18:35
2
BILLIØÑĒÄ MÄMŸ ČÄÑÄDÄ🇨🇩🕊️❤️ :
ni kweli kabisa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-10-14 19:19:21
2
𝐁𝐫𝐚𝐯𝐨𝐮𝐫༒ :
main point
2026-10-14 21:02:55
1
user3518655708279 :
wahambiye mzee.
2026-10-14 17:21:15
3
JOMBA IMAN :
ukweli utabaki ukweli
2026-10-14 22:07:19
1
manu beî :
Abdul Sykes mwenyewe alikuwa Mzulu wa Sauzi
2026-10-15 01:32:03
0
🇨🇩 Mmakonde 47 :
Duuu tunashukuru sana Baba
2026-10-14 17:02:29
1
kis kisando :
ubarikiwe mzee unaongeya ukweli
2026-10-14 20:13:47
0
Nelson Mandela#La familia :
Asante sana baba
2026-10-14 17:17:41
1
BlueSoft :
Kandolo alikuw babu yangu so i deserve u waziri ata wa mifugo 😁