tuna hoja ni miss grand international 2026 goes to Tanzaniaàaaaaaaaaaaaa
2026-10-14 15:39:04
0
epham💞💞 :
kwan hakukua na miss grand Lebanon
2026-10-14 07:07:07
133
odafa :
single mother oyeee
2026-10-16 04:02:19
0
MDOGO WAKE _JIHANI DIMARK :
mim na dada angu ni watanzaniaa😅😅😅😅
2026-10-14 07:17:27
79
Nameless :
Au tuwafuate awatujui [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 18:51:23
0
esther neema :
kabisa masingo maza Mungu atupe nguvu
2026-10-14 07:32:01
220
zaylyna :
nawasubiri ma wifi zangu jmn maana co kwa shengesha ntakalo lianzisha [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 16:50:25
0
lizzy john :
[Sticker] ooh hii ndo bongo 🫡
2026-10-14 17:32:48
0
Hamis Mgendi :
mtoto nikabila gani Yani mtoto hufuata kabila la mzazi yupi
2026-10-14 07:14:09
72
Nah.nyagani🧿🧿 :
Hawatujui vizuri hawa
2026-10-14 08:02:01
37
zu baby :
upande wa baba yangu tumetesekaa na mama ametulea hawakuwepoo naolew wameleta vichogoo kwenye maharii
2026-10-14 07:32:14
54
user55713656063684 :
hongea anko
2026-10-14 18:02:27
0
JoJo..💋 :
wambie mi msukuma
2026-10-14 08:25:49
27
canibia :
Tuwadaini ela zetu
2026-10-14 07:15:18
23
Da B :
Sijui Kwann watoto wa Single mother huwa wanafanikiwa Kwa namna ya ajabu sana🤔
MUNGU awabariki mama wote wanaolea watoto pekeyao, Maghara yao yasikauke na asinyamaze kwao🙏🏼
2026-10-14 09:55:08
16
🇰🇷🥰 :
Mim ndo yananikuta yaan mama kahangaika wee wameskia nmesafir nje ya nchi shulen wameanza kuleta. viherehere me siwajui kabc wafanye vyao
2026-10-14 07:37:19
18
Milka mnyandwa :
Tuliopo bize na HALLELUJAH CHALLENGE TUJUANE
2026-10-15 06:44:52
10
it's kushy :
uncle kawakilisha
2026-10-14 07:31:44
16
neesmi20 :
Kwaniii anko t hajawaonaaa eeeeh jamniiiii
2026-10-14 08:07:49
9
amina ussi :
sema wamejiongeza kushika bendera za tz
2026-10-14 07:23:16
7
wonderfully💎 :
hila hawajashika bendera zao wameshika wanapeperusha bendera ya 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
2026-10-14 08:05:29
10
Juma Khamis :
kazaliwa tanzania so ni mtanzania
2026-10-14 07:23:29
12
CLEOPATRA NDEJEMBI :
Hata hawakupiga kura, walikuwa wanatubeza tu
2026-10-14 08:07:19
7
Moana vipodozi 🇴🇲🇹🇿 :
Wa komeeee
2026-10-14 07:00:53
6
🦲🦲 :
🤣🤣🤣🤣hapo kwenye pesa nd mimi niliposkia maan watanzania tumechanganikiwa wallhah
2026-10-14 07:27:35
5
To see more videos from user @zeemedia_tz, please go to the Tikwm
homepage.