@vinhjrrr: giờ chắc biết Yamal là ai rồi nhỉ 🔥🤙 #lamineyamal #yamal #viralvideo #xuhuong #foryou

vinhjr
vinhjr
Open In TikTok:
Region: VN
Wednesday 14 October 2026 06:27:29 GMT
11962
472
6
198

Music

Download

Comments

phongtr23
𝓟𝓱𝓸𝓷𝓰 :
cũng lm mà flop quá
2026-10-14 11:47:46
1
goofyboiz_
mèo con sát thủ :
2026-10-14 10:51:42
0
kutongp5830
♠️ :
2026-10-14 08:47:36
0
omachikokomi_0402
BOVIPPRO🌏 :
giúp mình video đầu vs 🥺
2026-10-14 08:53:32
0
To see more videos from user @vinhjrrr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

🔥 D3 + S4: SIRI YA KUMSHINDA MPINZANI WAKO BILA KUPOTEZA AMANI YAKO! Dunia haihitaji watu wenye vyeti pekee; inahitaji watu wenye uwezo wa kufanya mambo yatokee! 🔥 Sikiliza hii kanuni na uihifadhi, kwa sababu inaweza kubadilisha namna unavyojenga maisha yako. D3 + S4 = MFUMO WA KUJENGA MTU IMARA! ✅ D3 — DISCIPLINE, DESIRE & DILIGENCE • Discipline — Nidhamu ya kufanya unachopaswa kufanya, hata pale ambapo huna hamasa. • Desire — Shauku kubwa ya kufikia kile unachokitaka. • Diligence — Bidii na kujitoa katika kazi zako mpaka matokeo yaonekane. ✅ S4 — SELF-CONTROL, SMILE, STRENGTH & SKILLS • Self-Control — Uwezo wa kujitawala hata unapokasirishwa au unapokabiliwa na majaribu. • Smile — Tabasamu linalokusaidia kutokubali kila changamoto ivuruge amani yako. • Strength — Nguvu ya ndani ya kusimama tena baada ya kuanguka. • Skills — Ujuzi unaokuwezesha kutatua matatizo na kuleta matokeo halisi. Kumbuka hili: Dunia haivutiwi na kile unachodai kujua pekee, inataka kuona kile unachoweza kufanya! Vyeti vinaweza kufungua mlango, lakini uwezo wako wa kutatua matatizo ndiyo unaoweza kukufanya uwe wa thamani katika eneo lako. Na kuhusu TABASAMU, usilichukulie kama jambo dogo! 😊 Kuna watu watakuprovoke makusudi ili upoteze utulivu wako. Wengine watakusema vibaya, watakubeza na kukufanya ujihisi hufai. Lakini usiwape mamlaka ya kuamua hali ya moyo wako. SI KILA VITA UNASHINDA KWA KUJIBU; VINGINE UNAVISHINDA KWA KUKATAA KUPOTEZA AMANI YAKO! Tabasamu haimaanishi kwamba huna maumivu. Linamaanisha kwamba hutairuhusu kila changamoto ikutawale. Jifunze kujitawala, jenga nguvu yako ya ndani na endelea kuboresha ujuzi wako. 🔥 Sasa jiulize maswali haya matatu: 1. Je, nina nidhamu ya kutekeleza ninachokitamani? 2. Nina ujuzi gani ambao unaweza kutatua tatizo la mtu mwingine? 3. Je, watu wakiniprovoke, ninatawaliwa na hasira au ninatawala hisia zangu? D3 + S4 — JENGA NIDHAMU, ONGEZA UJUZI, IMARISHA NAFSI YAKO NA USIACHE KILA CHANGAMOTO IKUIBE AMANI YAKO! 📌 Kama unahitaji ushauri, mentorship au mwongozo wa kukua binafsi, kujenga fikra, mahusiano na maisha yako kwa ujumla, usisite kunicheki kupitia WhatsApp: +255 719 260 104 Usisikilize maarifa haya kwa ajili ya kuyapenda tu. Yafanyie kazi! #KingdomPlate #FikraSafiri #trendingvideo #goviral #flypシ

About