@godzilla.jr7: Kila anae niombeq kwenye mafanikio yangu pia nae MUNGU atakusaidia ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ™Œโšฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿซถ

Godzilla jr
Godzilla jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 06:32:21 GMT
42932
2944
76
25

Music

Download

Comments

godzilla.jr7
Godzilla jr :
โฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธhakuna kazi nyepes Kwa mwanaume
2026-10-14 06:34:08
5
bryton497
@ bryton :
jaman kwann hicho nnn
2026-10-15 12:24:27
2
kabunguajuka
kabungu the great :
inamaana hawa wanaotembea kwa miguu wanatembea kutoka dar ad mzigo unafika au
2026-10-15 17:59:15
3
anuarymajidy
Anuary Majidy :
sana mzee
2026-10-14 18:29:06
1
br7boss
Mr Qingcheng ๐ŸŸฆ๐ŸŸฉ๐ŸŸฅ :
Rafaeli logistic kwa heshima
2026-10-16 09:06:53
3
vet.sahabu
vet.sahabu :
same carco
2026-10-14 17:47:48
1
user8659615765065
muze :
Raphael hachek na yoteyote...
2026-10-20 15:01:47
1
muhammedmaganga
Muhammed Maganga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ :
daah noma sana
2026-10-14 14:54:38
2
kalekayoedigar868
It'z kayo310๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ€ :
ni nini ilo
2026-10-14 18:09:25
1
dogo.chuga27
Dogo Chuga45 :
kaka nakubali sana familia yangu inatubidi tupambane sana ๐Ÿ™
2026-10-15 17:50:56
1
hamphrey.bugeraha
Hamphrey Bugeraha :
super star kaanua na yeye anaona Raphael anafaidi
2026-10-16 04:36:05
1
nyangema287
๐Ÿ„ผ๐Ÿ…‚๐Ÿ„พ๐Ÿ„ฟ๐Ÿ„พ ๐Ÿ„น๐Ÿ…๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘ :
๐ฆ๐ง๐š๐Ÿ๐ข๐ค๐š ๐ฅ๐ข๐ง๐ข ๐š๐ข๐ฌ๐ž๐ž
2026-10-14 20:09:29
1
tsleybrandtz
tsley brand tz :
oya kk iyo siyo kitonga
2026-11-19 18:23:48
1
ranil..001
CEO Razaq :
kwani hiyo ni nini
2026-10-14 13:22:29
1
user7777701685496
david Simba :
nakubali mkuu
2026-10-14 18:09:00
1
dully7657
Dully The master :
nimeliona Sumba wanga
2026-10-14 13:27:41
1
lausten1933
lausten de mwaina :
dah oya hilo kwani linaenda wap maana naona linazulula tu barabaran week sasa
2026-10-15 13:42:44
1
papaabelanga
shariff bellanga :
Alooo wanaume tu ndio wana elewa hii kitu
2026-10-30 21:52:07
1
00000078rt
nixonjr :
kwanii msitumie HOWO
2026-10-15 05:12:35
1
azeez.hunter
Azeez Hunter :
superstar imechemka ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-10-14 19:31:43
2
official_junior669
JUNIOR JOHNSON :
na hii iliyo anguka ni ipi?
2026-11-25 21:18:56
0
user4298601700816
...Prรฎล‹รงฤ• Khรฃllฤฏฤ™...๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ :
kwa heshima
2026-10-26 19:11:26
1
necha618
Necha :
poleni sana team super star
2026-11-25 22:36:49
0
edoojohn639
Edoo John :
Izo Kazi ni za watu wa wili tu M German na M Sweden VOLVO/ BENZ
2026-10-14 18:06:56
2
user2772287815255
Gurstav MC :
mlisababisha shana foleni mpaka maaskary wakaja pare basihaya karibia na kb
2026-10-17 22:41:33
0
To see more videos from user @godzilla.jr7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About