@hubofwisdom.inc: "Kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja, kazi ya uongozi haiwezi kuwa kutenga watu waliokuwa wana umoja.... na hasa mahala ambapo bado hamjakomaa, bado mpo katika jitihada za kujenga." Alisema Mwl. Julius Nyerere "Wakianza viongozi wa namna hiyo na tukawakubalia, tutagawanyika." Katika siku hii ya kumbukizi ya Hayati J.K. Nyerere tutafakari... Ni kwa namna gani sisi kama taifa tunayafanyia kazi mausia ya Mwalimu? Shida sio kuambiana, shida kusikilizana #HappyNyerereDay #Sept14 #Thewisetz @hubofwisdom.inc