hiyo ndio ilikuwa tabia ya mumewangu alikuwa ananikosea halafu anajifanya kama hakuna kilicho tokea anajifanya Yuko sawa na Mimi ndio ninajiona nimekosea ilibidi nimuwache aende
2026-10-14 09:44:09
4
Neema Mboya :
Hii shida ipo zaidi kwa baadhi ya wanaume
2026-10-14 07:54:25
3
khadijasuleshy💋 :
UMESEMA UKWELI WANAUME WENGIIII WANA HIZO MAMBO ANAKUPIGA TUKIOOO KISHA ANAJUFANYA KAMA SIO YEYE KUSEMA UKWELI WANAWAKE HATUSAHAU NDIOO TUNAYQWEKA MOYONI TUNASUBIR N SISI SIKU TUKULIPUWE MAMBO YAISHE
2026-10-14 15:14:54
2
Loy Petro :
namchukia sana mme wangu nilikuwa nampenda sana lakini saiz nnakisas hasira maumivu si mwamini kwa lolote sidhani kama nawezakuendelea naye
2026-10-19 20:56:37
1
Blessed 888 :
you listening to your own advice? epic!
2026-10-14 10:55:03
2
Beatrice :
nikweli kaka
2026-10-14 09:17:29
3
Flora Mhawi :
nakumbuka mambo mengi mabay
2026-10-27 19:38:46
0
Maria james mary j :
duuuh mme wangu huyo ila bado tu anachokitaka atakipata
2026-10-14 12:55:48
1
P mchina :
Ndo kinachonikeraa had nmejikuta namchukia na kukumbuka makosa yote hadi ya nyuma
2026-10-18 10:05:36
0
ANUARITE MUHAWE :
kweli
2026-10-30 10:51:59
0
Esta :
me ananigeuzia nakua mimi ndio mkosaji kwanininione kua amekosea ,.?
2026-10-18 18:55:34
0
Devote NIHORIMBERE :
Hivi wewe
2026-10-23 00:05:16
0
Anastazia :
amen
2026-10-14 11:07:56
0
Devote NIHORIMBERE :
who??
2026-10-23 00:06:06
0
janeth mgozi :
nikikunyima like ntakua nimekukosea ❤️❤️
2026-10-25 05:05:50
0
user5098822823972 :
mm wangu nilie naea akikukosea ety umuombe msamaha yy wakati yy ndo mkosaji swali sasa wee mwanamke unafiwa na baba ako unaenda kwenu halaf mwanaume ana bd unaenda peke yako na nimikowa 6 unavuka antumiwa hera ya lambi lambi na bos wake kama rk mbili anakwambia hakupi na ww ndo ulie fiwa utafanyaje
2026-10-20 16:26:00
0
Jodjod🌸🔐 :
akiomba msamaha anahisi ataota MANYONYO.
2026-10-17 05:43:50
0
adelove583 :
karibu wanaume wote wako ivo
2026-10-14 10:19:37
0
Upendo Mwakimage :
mbn kama man fanana na nyie
2026-10-14 14:10:43
0
mom RI 💕 bites :
😄😄😄😄
2026-10-15 13:32:00
0
zanel :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-27 06:20:14
0
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.