@saimon_749: Sotowafundisha kila kitu😂🙌#fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #fypppppppppppppp

saimon_749
saimon_749
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 08:14:36 GMT
87508
4574
280
509

Music

Download

Comments

aisha24618
AISHA🇹🇿 :
watu wanaloga jamani 😂 kuweni makini 😂 napita tu
2026-10-14 09:54:24
87
official.babu.ally
official babu ally 🇹🇿🇨🇦 :
😂😂🤣🤣 napita 2 👨‍🦯
2026-10-14 14:48:52
1
eriada12
Eriada🍜🥂 :
endeleeni tu kusikia ushauri wa mtandaoni😆nina ushuhuda🤌🙌🥺😫😭🤣🤣🤣
2026-10-14 10:42:29
42
merrychuwa355
Merry Chuwa :
rudia kwasauti[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-14 10:23:26
5
husnafatuma0
husna fatuma :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] penda yyyy chanaaaaa
2026-10-14 15:45:38
1
ukhty.minah3
💕🦋minah 🌪️ :
Mi sijamuacha mpaka nmehakikisha nmekua mke wa pili
2026-10-14 13:09:12
38
zainabhassan390
Zainab Hassan :
Jindanganyen tu [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-14 15:29:38
1
filohbeiby24
Filoh24 🦋💍 :
kosea vyote ila usije kubali kuolew mke wa pili niulizweeee
2026-10-14 17:46:47
5
jescakiliza493
❤️African Jr 🔐💍❤️💯 :
we aya tu niponze [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 09:43:29
3
naah.said64
Naah Said :
yan umenikosha ww😂😂😂
2026-10-14 13:01:41
5
sekoyorehema
Sekoyo🦋🥰🦋 :
My sitiation now
2026-10-14 14:46:38
1
aysher6416
💋💋Aysher :
Niongee kwa kukaa au kusimama😂😅
2026-10-14 14:57:45
7
desychales
Desy Charles :
kinachonikela amajiamulia mambo ni mtu sahihi lakini ananitumia kama mke na hajanioa anapenda nimuheshimu nimpikie nimfulie mda wote niwe nyumbani na nivae nguo za kujisitiri nikikosea ananirarua makofi akija nyumbani anakaa hadi apate saiti ya kwenda kusimamia kinachoniuzi Mimi tukigombana ananichiti Yani baada arudi kwa familia yake anatafuta mwanamke mwingine yakimahinda anarudi Tena kwangu mikono nyuma hii imekaaje nimevumilia saizi namuangalia tuu
2026-10-14 18:26:07
1
its.hu6
its hu :
ewaaaaa usiwaambie kila kituuu
2026-10-14 13:03:44
5
suzana.mshana
Suzy♥️🦋 :
Aya sawa ila kuweni makini ulogi upo 🥺
2026-10-14 13:03:58
6
halimaraphael426
@VEE STATIONERY 📚 :
Hii nayo noma utatuponza 😅
2026-10-14 15:51:15
1
user3376268051512a
: ꒰ঌ 𝓐𝓷𝓰𝓮𝓵 ໒꒱ 🌸🫧 :
kwnn aoe ss km n sahh😂
2026-10-14 10:33:01
7
mayraaa9058
mayraaa :
Jmn waganga wa kwel wapo🤣🤣🤣🙌
2026-10-14 16:40:20
1
faydotto.dot
Faydotto Dot :
Mchepuko et anasali hadi kunena kwa lughaaa😂😂😂
2026-10-14 18:50:08
0
cristercute
GIRL FRIEND🎀 :
me nampenda na simuachi yeye mwenyew kasem ananipenda milele me nani nikatae
2026-10-14 17:31:20
1
user5111271941792
Maggie💦 :
naomba kuuliza mwanaume sahihi yupoje!☺️
2026-10-14 10:02:16
4
mwasitybaby
💫🌹Sweet🌹💫💞 :
mi nae msinishauri bana
2026-10-14 13:03:58
1
ray615628
Ray💋💋 :
Mbna Kama unambia mm
2026-10-14 15:15:20
1
fettybeuty5
FettyBeuty :
nachokaaaa Mimi😔🥹🥹
2026-10-14 15:55:01
1
user255khadija
255khadija :
ndo maana me yule kijana Siwezi muacha🤣🤣
2026-10-14 16:43:07
4
To see more videos from user @saimon_749, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About