huyu kiti mpogor [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 09:31:30
66
☆☆Mage☆☆ :
[Tears of joy][Tears of joy]amenikumbusha kipindi nimeletewa mchumba niolewe nikajifanya nina majini hayataki kuolewa yanataka nisome
2026-10-14 09:16:37
26
marydeo :
mwanangu anasema akila sana ugali anaumwa matotesi😂😂😂
2026-10-14 09:35:18
16
Petii iggy🦋🌺 :
Ni mim uyo😂😂
2026-10-14 09:18:49
16
Huba outfit :
ukanikumbusha mbali siku nikiwa sijiskii kwenda shule ila elf2 ya shule naitaka basi nkifika Ile asubui nkisha ingia darasana saa 2 napandisha tena iwe jumatatu nimelala na home work ya mathematics Ndo kabsa🤣🤣🤣tena napandisha nkija kuzinduka nipo home kitandani
2026-10-14 10:09:20
7
Offer D :
Mtume majini jamani kapandishaaaaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 11:10:32
0
Grace raph :
huku mwingne ikiwa inakaribia jion anauliza mapema tunapika nini ukise.a ugar Anahama nyumba😂😂😂
2026-10-14 09:38:39
26
divaTz :
mh me nachoka
2026-10-14 13:29:25
1
Salma pondamali :
ubwabwa 🥰
2026-10-14 14:01:01
0
Nay :
😂😂😂 jamani utaniua na mm
2026-10-14 10:13:19
22
INGU TRONICS :
nimecheka kama chizi
2026-10-14 11:07:15
9
KING l👑 ENOMAX :
[Tears of joy][Tears of joy]duu
2026-10-14 09:54:48
0
vane :
yaan uyu mtoto 😂😂😂
2026-10-14 10:15:23
6
Cety💘🥰 :
basi nakula ugar😂😂
2026-10-14 10:36:54
5
Doraya🎋 :
Kwan kiti ndo nn au kwa nn wanasema kiti?[Innocent]
2026-10-14 12:27:56
1
Gianhaa❤️🥰🥰🦋 :
jamani mwenzenu mwanangu apendi ubwabwa ata kidogo ana penda ugali atali nyama yakuku anatafuna anatema maziwa anywi kabisa yani daaa nachoka mimi
2026-10-14 09:58:31
0
🫣cute Nina lee🥰🫂 :
hahahhaha nimechk Kam chiz m jmn kiti wee
2026-10-14 12:53:37
1
Chedy💙 :
kiti atakiwi kula ugali🤣🙌
2026-10-14 13:27:47
1
Beatrice :
wangu anasem sina njaa ya ugaliuu😅😅😅
2026-10-14 13:47:14
1
Fanboy⭐️🏆💫🇳🇴 :
Jmn kiti asiseme anachotaka mama 😁😁
2026-10-14 12:40:46
1
To see more videos from user @tarakeatv, please go to the Tikwm
homepage.