@tibelatk: Je, midomo au ukosefu wa utulivu ndani ya nyumba unaweza kuwa sababu ya migogoro kwenye ndoa? ​Katika video hii, tunasikia mtazamo unaoeleza jinsi heshima, kauli nzuri, na kutoa utulivu kwa mwenza vinavyoweza kuepusha hasira na migogoro mikubwa. Lakini swali ni: Je, suluhu ya kweli ni nini pale mambo yanapoharibika? ​Tazama mpaka mwisho kisha niambie maoni yako kwenye comments! 👇 ​ #TibelaKT #MjadalaWaFamilia #NdoaNaMahusiano #AmaniNyumbani

TibelaTK
TibelaTK
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 08:47:47 GMT
22286
943
28
93

Music

Download

Comments

shambu.dagat
Shambu dagat :
dada sanamulako nitajenga uma ng,ati ni🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-14 12:05:18
3
mishy4536
Mishy :
Ni kweli kabisa, sisi wanawake tuna kamdomo sana. Tunatawaliwa sana na mihemiko.. tujirekebishe.
2026-10-14 08:55:12
3
user8107887581170
mwalongo :
Yuko sahhi
2026-10-14 10:46:27
1
masoudnzowa3
masoud nzowa :
Unachokuosea dadangu huweki neno baadhi ya, au aslimia, . Mwisho wa siku watu wanadhani wanajumuishwa wote..
2026-10-14 14:36:32
0
user7722521419750
Eric cantona :
nikweli
2026-10-14 14:34:37
0
shazilnamkoko
zil one tz :
nikikumbuka oct 25 ...hata waongee nini siwezikuwakubali hawa watu
2026-10-14 13:38:10
0
khassansas
Khassan Sas :
waaaaaaah
2026-10-14 13:49:41
0
josephmvungi27
J.kitunga@2023 :
kamanda kaolewa?
2026-10-14 14:46:55
0
user3015264142845
JOHN TZ :
Kwel kabisa
2026-10-14 13:09:47
0
salehe.sarehe
Salehe Sarehe :
kwer dada
2026-10-14 12:13:01
0
jeffjustin6
JeffJustin :
nakubar dada mkubwa
2026-10-14 13:43:58
0
user581354610530
paulo manyemba :
kweri
2026-10-14 13:30:24
0
jacobchacha05
bloodizle :
si wakwao lazima ajue,
2026-10-14 11:56:26
0
mohamedymwamwa
mohamedymwamwa :
kwel bn
2026-10-14 10:31:08
0
user8673032076697
= :
nikama,urikuwepo,
2026-10-14 11:29:37
0
salumu.7
salumu :
kweri kabisa kamanda wang
2026-10-14 11:56:54
0
user74508279419106
user74508279419106 :
nitumie namba yako dada
2026-10-14 10:48:56
0
miluluhakim
cashkush :
Dooh! aisee ni kweli kabisaa daah
2026-10-14 12:41:32
0
kalalu43
kalalu43 :
na ukute wanadai bila kutoa😂
2026-10-14 12:10:02
0
stamile.yasni
🌹S🍒 :
safiwewe,unajuwa,sana
2026-10-14 10:34:00
0
elimutanzania
Elimu TV :
WANASEMAGA NIPIGE KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI... sasa hiyo inamaanisha nini... TOFAUTI na kumzalilisha mwanaume 😳
2026-10-14 13:47:48
0
lexmakmt
L£x!¢0~kmt™ :
apa huwez kuwaona[Laugh approved][Laugh approved]....au simu za mkopo
2026-10-14 14:17:47
0
jairosreuben507
jairosreuben507 :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 12:49:19
0
isihaka.kapili
isihaka kapili :
😳😳😳
2026-10-14 11:49:25
0
zanel3973
zanel :
🥰🥰🥰
2026-10-14 10:28:32
0
To see more videos from user @tibelatk, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About