I think deferent definition bado hujamuelewa huyu dada what she's saying and what you are talking about
2026-10-14 16:26:39
1
angelinejulius :
kaka hata madrassa kwenye mabiashara pia. wallahi it's so sad
2026-10-15 13:52:49
1
diza :
wanawake nao wakiambiwa makosa wanayofanya katika kujipost na mavazi mabovu yalioko nje ya mipaka huwa wakali hawataki nasaha inna lillahi wa inna ilayhi raajiun
2026-10-14 09:00:49
1
user5700816210800 :
lakini nikweli ama niprojo tu kuna hatari katika ulimwengu sasa mengine tuyawate
2026-10-14 10:41:00
1
Famaubafundi :
Swadakta 🙏🙏🙏
2026-10-14 18:20:33
1
🌹DIREISH💫 :
ان اكرمكم عند الله اتقاكم
2026-10-14 17:32:39
1
User1784791684881973 :
kaka wallahi nakupenda kwa ajili ya Allah nakuombea afraid umri mrefu uzidi kutukumbusha na kutufundisha
2026-10-14 12:04:56
1
User282736484 :
Ubaguzi ya rangi na ukabila ziko mpaka kwa family tena sisi kwa sisi watoto wa mjomba na Shangazi.
2026-10-14 20:57:09
1
the king 👑 pioneer 👑🧢 :
kweli ukabila imekidhiri sana wallahi Allah hatufanyie wepesi sisi sote
2026-10-15 03:48:54
1
UKTHY WA KILIFI :
Subbahan Allah
2026-10-14 15:52:39
1
Nyokaa :
mbora wenu mble ya Allah ni yule mwenye taqwa , hkna kabila wala rangi yenye sifa
2026-10-14 10:38:46
1
diza :
ni mitihani mikubwa sana kuna watu wanatamani aya za mwenyezi mungu ziliposema makabila na mataifa mbali mbali kwa ajili ya kujuana na mbora wenu ni mchaji mungu. basi wangaliifuta ili wawe bora wao
2026-10-14 08:58:21
1
Fatma-89 :
Sio baadhi yao. Ni majority wako hivyo
2026-10-15 15:29:58
0
swahaba01 :
Aiwa Aiwa Aiwa angeenda msikitini kwa wahusika aka rise hiyo issue hapa Kwa mtandao hao walomdharau hawapo hatasaidika hapa ni aibu tu anatowa
2026-10-15 08:40:21
1
Ibrahim Ali :
🌹🌹🌹
2026-10-15 08:40:36
1
To see more videos from user @abuuzakir1, please go to the Tikwm
homepage.