1. Mungu hawezi kubadilika n yeye leo, kesho na hata milele. 2. Hawezi kusema uongo. 3. Hakuna Asiloliweza Mungu 4. Mungu akifungua mlango hakuna mtu wakuweza kuufunga. 5. Mungu akitubariki ametubarik. 6. Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu. 7. Mungu hawezi kutusahau. 8. Mungu hawezi kutuwazia Mabaya. 9. Mungu hawezi kutuchukia. ASANTE MAMA
2026-10-14 09:29:03
26
@Elisah :
God bless you mom🙏
2026-10-14 15:08:05
0
DUKA LA SAMAKI NA KUKU POA :
nimemtenda sana MUNGU dhambi nahitaji rehema zake
2026-10-14 11:08:55
0
user5232184757451 :
May your mercy locate me oh Lord 🙏
2026-10-14 17:11:15
0
Karen Ibrahimu :
Amen Amen Amen blessed mama
2026-10-14 16:04:16
0
JanelightOutfit :
Amen 🙏 Amen in JESUS name 🙏🙏
2026-10-14 09:06:33
1
gff :
Amen Amen [Pray][Pray]
2026-10-14 09:08:09
0
Charly Mbokani :
Amennnnnnnnn
2026-10-14 17:00:49
0
Hafsa Karrim :
Asante Mungu kwa kusema na mimi kupitia mtumishi wa Mungu!!... ukweli Kabisa ni Mungu amesema na mimi🙏🥰
2026-10-14 11:12:10
2
MD NA LIFE STYLE :
Mungu alitumia wew kuongea na mim kwa habari ya maombi ya rehema na Toba ,,,niliomva sana rehema na Toba juu ya hali flani nilikuwa napitia ,,namshukuru Mungu alinivusha kwa ushind mkubwa sanaaaaA
2026-10-14 15:43:19
2
Jenah😘 :
Amen asante Mtumishi wa MUNGU kwa ujumbe mzri wakujenga sana kiroho
2026-10-14 10:30:53
0
Nelson Mwakilambo :
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
2026-10-14 14:47:50
1
letisha leti 1 :
Asante sana neno zuri, mungu akubari
2026-10-14 09:29:36
1
merry :
naamini kwa jina la yesu mungu hawezi kunisahau ata kma wanadam wakituacha mungu hawezi milele
2026-10-14 10:56:07
2
user4003151446132happy elias :
Amina mama ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
2026-10-14 10:30:55
0
antiadomitian :
Mungu akupee maisha marefu yenye afya njema ukaeendelee kumpendeza katika roho na kweli 🙏in the name of Jesus Christ
2026-10-14 10:46:00
0
ELIMARY :
Amina mtumishi nimebarikiwa sana kwa ujumbe huu.
2026-10-14 09:38:30
1
user366500724340 :
amina
2026-10-14 13:09:37
0
Victor Victor :
Amen Amen Amen 🙏 🙏
2026-10-14 09:23:08
1
Prospelia Duwe :
Amen mama bado nasubir wakatinwa Bwanaa.
2026-10-14 09:00:30
1
user8460530162837 :
ni kweli mtumishi mungu alpha na omega,Amina
2026-10-14 10:08:14
1
Lucy Lomala :
Amen 🙏🙏🙏 ukweli kabisa
2026-10-14 09:15:15
1
arafa :
kweli MUNGU wetu awez kubadilika
2026-10-14 08:59:41
1
Kathy :
Amina amina Mungu ni mukuu
2026-10-14 09:12:33
1
Devote NIHORIMBERE :
sinahamu yakuishi na Bwana tena Hilo nilimwambiya na eye anajuwa
2026-10-14 09:46:05
0
To see more videos from user @florence_charles, please go to the Tikwm
homepage.