@siasatz: 1985 Hayati Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere alihutubia na kuliaga Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ( UNGA) Hotuba yake ilikuwa nzito kupata kutokea. Nyerere aliyasema haya “Katika hotuba yangu hii ya mwisho mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, nimeeleza matukio, mwelekeo wa mambo na mahitaji kwa jinsi sisi Watanzania tunavyoyaona. Kukaa kimya tunapoona hatari, na kujizuia kukosoa sera tunazoona kuwa zinakwenda kinyume na maslahi ya amani na haki, itakuwa ni kusaliti uhuru na utu wetu. Jambo hilo hatutalifanya kamwe.”- JK Nyerere #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 09:01:13 GMT
6624
206
4
29

Music

Download

Comments

pauloscartz
Paul Oscar :
and yet wwe did to injustice of our own people, disapperances and oppressions. We have hugged the very thing Nyerere feared
2026-10-14 09:26:30
0
andrew.malyamuhin
Andrewjr :
Tanzania ,Mwl tutamkumbuka daima
2026-10-14 15:43:10
0
barickamos801
Barick Amos :
nakubal
2026-10-14 12:41:29
0
virgincapital_tz
nyumba kama nyumba :
2026-10-14 18:11:10
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About