@islamicswahilinet: "MKE ANNUNE NDIO RAHA YAKE" Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 09:38:28 GMT
Music
Download
Comments
Awadhi🇹🇿🇹🇿 :
kwan huy si alikua mchungaji au me ndy sijuii
2026-10-14 12:56:56
16
🦋isher-Al-hennah🦋 :
Mi nampenda huyu pasta bhna🤣🤣🤣
2026-10-14 16:49:55
6
@Makondappaulo*#@ :
ivi nikweli ameslim or
2026-10-14 15:38:09
1
Ally Juma :
mwenyez mungu akulinde shekh wangu
2026-10-14 13:09:01
6
Abdul m❣️💞💕💖💘🥀🌹 :
mm namkubal sn hananja
2026-10-14 14:38:40
5
master ...!! :
ananja mtusaf
2026-10-14 17:44:44
1
mbwex hara :
uyu ali alikwa2
2026-10-14 20:27:24
0
safinasamadu :
Nimemuona sheikh walid jamani
2026-10-14 13:56:12
1
Habibu Mohamed :
vipi kaslimu?
2026-10-14 19:03:24
0
Esther Namanda :
makubwa
2026-10-14 18:12:34
0
Zawadi Elias :
2026-10-14 19:50:27
0
saada :
Allah akbar
2026-10-14 17:36:41
0
aslay njechi 🐅 :
2026-10-14 20:28:10
0
msaka Tonge :
mashaallh ❤️🩹
2026-10-14 16:14:16
0
@perata :
amin
2026-10-14 17:47:12
0
shaban shabani :
Allah akujaliee katika kherii njema
2026-10-14 15:29:40
4
bahariassu :
Mashalllah mke anune nune 🤣🤣🤣🤣 jichanganyaje Kwa Hawa vijana wa Sasa hv
2026-10-14 16:03:09
1
Dipens :
huyu mchunhji hananji huyuu, saivi ni muislmau mashaallah
2026-10-14 17:31:49
0
Issah Mbukwa :
mchungaji kawa shekhee tena
2026-10-14 20:17:16
0
KAIFU :
kwan kawa muisl uy au
2026-10-14 16:43:43
0
Al-mahdi :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-14 10:13:02
1
Mansour binlugoda :
🥰🥰🥰
2026-10-14 17:52:18
0
HASSANI MALANDO SAU :
💯💯💯
2026-10-14 18:45:10
0
VCT7au60 :
✌️✌️✌️
2026-10-14 17:23:48
0
Sharabili Athumani :
🥰🥰🥰
2026-10-14 09:40:50
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.