@jumahokororo:

Juma Hokororo
Juma Hokororo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 09:41:49 GMT
19654
805
42
42

Music

Download

Comments

wildaholictz
Arif. Aziz. Khan🇹🇿 :
chuma hio
2026-10-15 05:50:17
0
user2585410533504
user2585410533504 :
land Rover 💪 above and beyond ☺️🔥🔥
2026-10-14 17:48:06
0
mcluskys.brother
McLUSKY's brother :
sio mang'ola
2026-10-14 14:55:05
2
marishmbogai
Marish Mbogai :
hizo ndo barabara za wilaya yako mkuu, mbunge mkikaa mnaambizana nini?
2026-10-14 12:09:04
2
mbarikiwapasko
Ingo ZE borbo🫶🤣🫡👈 :
Mkuu waambie matrafick wasitukaxie sana tuna wanaotutegemea
2026-10-14 12:01:05
0
charles.endeko
Charles Endeko :
Eyasi Road
2026-10-15 01:25:43
0
user4207261081579
Rebecateddy :
Hatari sana hii
2026-10-15 06:14:13
0
jaykm80
Jumanne :
Mahindi na vitunguu washavuna nije kununua!
2026-10-15 05:44:09
0
innocentbajuta
Bajuta88 :
mtumishi wa watu
2026-10-14 18:45:24
0
babuujerome8
BabuuJerome :
mkuu umeonaje hiyo
2026-10-14 09:46:35
0
user2481302815431
linah😍 :
khaaaa huko ndani kuna watuu eee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 19:23:05
0
ritha674
Mama Aubrey :
Hii njia jamani kipindi nasoma Anna Gamazo 2012
2026-10-14 19:43:38
0
fadhil.tz
Fadhil tz :
Mheshimiwa kama hii ndo ya karatu to mang’ola ase imetuharibia magari mpka likizo tunaogopa kwenda nyumbni tunaomba upeleke mapendekezo ile barabara ijengwe
2026-10-14 15:00:46
0
gkankari
user2622244234137 :
tatizo majukumu ya familia yanatusubiri kausha ....☺️
2026-10-14 14:04:32
0
alex.sichone4
Alex Sichone :
bila shaka hii ni karatu mang'ola road kaka
2026-10-14 19:10:58
0
athanasisarwatt
One_man_Army :
wanaume wapo kazini hapo
2026-10-14 15:45:21
0
gerold396
geroldi777 :
izo chuma azijawai feli popote inapand iwe mvua au vumbi
2026-10-14 15:34:44
0
user688109762552
Kimaro :
Mkuu barabara ya Karatu- Mbulu mna mpango gani nayo??
2026-10-14 18:11:04
0
marishmbogai
Marish Mbogai :
utakuwa umetuheshimisha mkuu, na jina lako tutaliandika kwa wino wa dhahabu wilaya ya karatu. kama ukimpigia simu mama Rais mwambie tunampenda.
2026-10-14 13:29:30
0
francis.massay
Francis Massay :
ndo maisha yetu mkuu
2026-10-14 10:46:06
0
user15656912035
Yuzooh Boy🔥🪖 :
Road ya karatu to mbulu kam sikosei
2026-10-14 13:44:18
0
ansilahmkude
Ansilah Mkude :
homie❤️
2026-10-14 19:30:22
0
user3242979816035
masai boy :
selelaa,,,daah miaka mingi xaan pande izo
2026-10-14 12:48:38
0
tzminah
Tzminah :
siku nikiachaaaa kupandaaa hii gari ndugu zangu mnitafutieee TU kazi ata ya kudekiii walai[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 12:25:40
0
imamuabdallah800
#Faris10@#🤓 :
mkuu siku Ukienda nyumbani lindi usinisahau mimi nipo karatu apa🫡
2026-10-14 15:18:10
0
To see more videos from user @jumahokororo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About