@badrumzee198:

Badru Mzee
Badru Mzee
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 09:52:56 GMT
44826
825
203
67

Music

Download

Comments

nassirkhamis03
nassirkhamis03 :
na sisi wananchi tunataka barabara hatutaki maskani
2026-10-15 06:08:17
20
sabratamim
Chaby-satma :
Ulitaka barabara ya wote ikae juu ya maskani au vp?barabara wametia alama zinafika mwaka,mnapenda uchonganish t
2026-10-14 13:04:25
23
chalu_dallas
Chalu_Dallas_🏝️ :
mambo y afrc....
2026-10-15 06:46:24
0
bizzo.msafi
bizzo msafi :
maskn ya kaz gan tusiotfut kaz tukakaa makwetu
2026-10-14 13:24:17
15
duka_la_vyombo
Duka_la_Vyombo :
Safi sanaa vunja babaa tutajenga keshoo😂😂
2026-10-14 13:01:44
5
user2057861212757
user2057861212757 :
kwani kisiwqndui wanasemaje
2026-10-14 18:00:39
4
mr.market101
Mr Market101 :
kakaen msikitini maskani toshaaa.
2026-10-15 13:12:45
4
mohd.salim9095
Mohd9095 :
Hii ndio maana halisi ya 5 TENA
2026-10-14 18:12:38
3
seif.hamad6
Seif Hamad :
Maskani haina faida yyt zaidi ya umbeya tu, bomoa fasta jenga barabara.
2026-10-15 13:18:41
3
alabany_tz1
alabany_tz :
Sasa sisi maskani inatusaidia nn
2026-10-14 18:38:49
6
othman.seif
Othman Seif :
Sifikiriiii kama serikali hiii chini ya dk mwinyi ifanye mmbo hyo
2026-10-14 16:10:21
1
bm_quadzanzibar
BM_Quadzanzibar :
Kwa nini mlijenga barabarani
2026-10-14 18:36:47
4
zainab.dadi6
Zainab Dadi :
iyo lini iyo?
2026-10-14 12:33:49
1
smt_tz
Samir TZ :
maendeleo kwanza
2026-10-14 21:18:34
3
ajmus00
kadii :
Kwan maskani ya nn
2026-10-15 05:24:13
1
babupolithii
babu polithi :
hili lazima limfikie mh rais maskani tumejenga wenyewe halafu pesa walipwe watu wengine Mungu atatulipiaaaa
2026-10-15 10:48:18
0
chunila8
chunilal :
Katengeneza mbunge na mwakilishi wa CCM. TUTATENGENEZA TU MAENDELEO MUHIMU.
2026-10-15 06:37:56
1
pwanitourssafari
PWANI TOURS & SAFARI :
Shamba la bwana kheri mbuzi wa bwana kheri
2026-10-15 04:06:45
1
ibrahim.ame5
Ibrahim Ame :
maskani zitatusaidia nini tubadilikeni twendeni darsa tukajifunzeni
2026-10-14 18:07:00
9
lauhiy8
lauhiy :
yako au yenu
2026-10-14 13:59:43
1
unguja63
CHIDY ZANZIBAR GUIDE :
pole anko lakin tumuacheni mzee atufikishe pahala kwanza tutayasahau haya . mazingira yakikamilika tumuombee dua amalize hatunui nani anaekuja ankooo ..lakin upo sasa sijakupinga ndoivo tuuh
2026-10-14 21:48:09
2
mudy7146
Mudy :
ccm oyeeee
2026-10-14 12:41:05
1
salehsaighy
salehsaighy :
ndoo sirikali inanguvu
2026-10-14 17:26:43
1
othman.seif
Othman Seif :
Lzmaaa kuna notice ilitolewa hlafu brother unapotaka kujenga miundo mbinu lzmaaa uvunjeee
2026-10-14 16:11:40
1
mohamedcharming0
Eddy Charming74 :
MITANO TENAAAAAA
2026-10-14 12:32:36
1
To see more videos from user @badrumzee198, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About