@emoofm.kenya: Aaron Cheruiyot: Wewe Gachagua, iulituambia chini ya miezi mitatu SHA itakuwa imeanguka, wakenya wengi wanaendelea kujisajili ndani ya SHA. Ukatuambia Rironi - Mau Summit hakuna wheelbarrow, sahi barabara karibu inafika Naivasha ikielekea Nakuru. Ulituambia Bomas imeuzwa, mwezi ujao Rais anaenda kufungua Bomas mpya 10,000 seater. Truth of the matter, hakuna kitu unajua Kenya nzima. #EmooFmNewsUpdates