@peter.aint: #fypシ゚viral #Kingpeter🦂

𝐊𝐢𝐧𝐠 👑 𝐏𝐞𝐭𝐞𝐫 🦂
𝐊𝐢𝐧𝐠 👑 𝐏𝐞𝐭𝐞𝐫 🦂
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 10:31:54 GMT
36184
2271
273
43

Music

Download

Comments

malikichamiwa
Maliki Chamiwa :
hahahahahah mie nina mwaka cjaongea nae nampigia saiv
2026-10-17 05:04:26
1
calebzion01
Caleb :
siwez mpigia adui wa mama yangu😂😂😂
2026-10-14 16:25:31
19
user4757288296623
@kp64 :
Sas kam namba ya baba sinaa na nakaa naye nyumba mojaa iyoo ya shangazi naitoaaa wapii😂😂😂😂msipende kujiamuliaa mambo bhnaa
2026-10-14 16:38:25
24
user2570632975281
أبو هريرة السلفي :
duh shughul kuupata namba yake
2026-10-14 13:57:10
3
ashilytz
Ashily :
Me kila nikimpigia anauliza nani mwenzangu nimeshaacha shobo
2026-10-15 06:22:18
2
ummyissa725
ummy :
me shangazi zangu midomo yao imezoea kutupiga laana 2 cha ajabu hizo laana zinawageukia wtt wao kwa cna namba zao
2026-10-15 08:38:55
5
kagame9157
kg boy :
hhhhhhhhhhjhhhhhhhhhhhhhhhjhbnhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh asee mjomba mbna kam unanisema nina mwaka sasa da🥺🥺
2026-10-15 07:18:37
1
magrethmassine
cute7 :
uzuri hata baba mwnyew anajua sina no yake sasa shangazi wanne mie😂
2026-10-14 18:20:01
5
user2613472744755
@mwenda mseya.tz :
🤣🤣🤣 yaani ushasema ni ndugu wa baba...yaan hakuna watu siapatani nao kama shangazi sijuagi hata ni Nini shida 🤣🤣
2026-10-14 19:06:22
3
dtha429
D💝💝 :
mm at namba zao sina 🥺🥺
2026-10-14 13:04:36
1
magretmassawe
Magret Massawe :
sasa mbn hata namba yake sinaa
2026-10-14 14:37:23
5
user5595761117327
my martha :
mimi sinaga namba yake
2026-10-14 17:15:22
2
erasmimassawe111
erasmimassawe111 :
mh ilijipiga bahat mbaya nkaulizwa mbn unapiga kwa pepo dah
2026-10-15 14:53:58
1
saimdau4
saimdau4 :
hata mmja mwanetu nimbovu
2026-10-14 19:17:06
1
mariam.kamagishom
Mariam KamagiShoma's Family :
I love my aunt shangazi yangu hana ubaya ingawa wengi wanawasema vibaya
2026-10-14 12:59:23
2
miss.latifa94
Miss Latifa :
Sina ata namba za mtu mmoja upande huo
2026-10-14 15:59:18
1
missmimi825
Miss mimi :
Licha ya namba zake kuwa sina hata anapokaa sipafahamu
2026-10-14 14:57:35
1
user2342293745800
shayy🌺🪻 :
mi Kila nikiwapigia wananiuliza we nani . saivi nixhafuta hadi namb zao sitaki xhob
2026-10-15 09:27:39
3
bintamiri1
Bint Amiri🧕 :
me naongea nao kila wik mbn
2026-10-15 11:10:14
2
user3504158029117
hidayaqeen :
hwan maan kwenye maisha yetu
2026-10-15 15:07:37
1
yolanda35914
✨️✨️yolanda💕 💕 :
picha linaanza ndg wa upand wa baba nina namb ya baba t cna y amt nwngn zaid ya hiyo
2026-10-15 07:15:23
1
jullietwajane
jullie :
😂😂😂Jamni mimi Toka nizaliwe sjawahi ongea nae kwenye sim hii inaitwaje kitaalam
2026-10-15 07:21:19
1
user5239418472062
veronica :
me Sina hata namba zao na siwajui hata kwa sura
2026-10-15 09:50:30
4
user1817398814800
wema42 :
walivo kuwa hawatupend tukiwa Bado wadogo saiv wanaona tuna roho mbaya maneno kama yote me ankuu, japo nkiombwa ela waga nawatumia ila mazowea nooo
2026-10-15 10:47:30
2
baby.dol658
Babydoll :
🤣🤣kweli jamn umenikumbusha kweli nipo na shangaaz jamn wacha nipege leo
2026-10-14 13:54:23
1
To see more videos from user @peter.aint, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About