@sportsvanta_media360: #sportsvanta_media : Olivier Giroud alipokelewa kwa makofi ya heshima na mashabiki wa Arsenal alipokuwa akiingia uwanjani dakika ya 78 katika mchezo dhidi ya Lille kwenye UEFA Champions League, Oktoba 13, 2026. Arsenal walikuwa tayari wanaongoza kwa mabao 3-0. • Giroud, aliyewahi kuitumikia Arsenal kwa miaka sita na kufunga mabao 105, alionyesha kuwa heshima ya mashabiki haifutiki kirahisi. • Mpira una ushindani, lakini heshima kwa waliowahi kuandika historia hubaki daima. • Usisahau ku-follow **@sportsvanta_media** kwa habari na matukio makubwa ya soka duniani! #SportVantaMedia #OlivierGiroud #Arsenal #UCL
Sportsvanta_media
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 10:42:18 GMT
Music
Download
Comments
JC chungs :
mzee wa header and scorpion master kabisa uyo ni Oliver Giroud
2026-10-14 18:08:15
5
regan allen :
Wenzetu Wanaubaguzi kiasi fulani hivi ila Wametuzidi Heshima na Upendo wa kweli
2026-10-14 13:08:50
115
𝐑𝐞𝐚𝐥𝐥𝐲 𝐌𝐛𝐮𝐥𝐨 :
giroud🤜🤛
2026-10-14 13:07:00
4
Ben_Dan :
hivi Giroud ameshawahi kuchezea Arsenal?
2026-10-14 16:42:27
12
Real Sigan KE 🇰🇪 :
football is real amazing 👏
2026-10-14 17:20:34
3
@ROMAN 🇮🇹 :
Naskia ashawah kumaliza dkk 90 bila kugusa mpira
2026-10-14 19:09:30
4
🌲Lily Legalas King♨️ :
ndo ladha ya football inapokuj hap
2026-10-14 13:35:49
17
Alvin Hamad :
The reason why I love football
2026-10-14 16:49:56
3
MR DISCOUNT WEAR CLASSIC :
sio kwa bongo
2026-10-14 12:22:48
9
kim -@nussa 26 :
bongo hamna mpira mchezaji kama feitoto yanga wanamzomea wenzetu wana heshima
2026-10-14 13:40:04
9
Petro Abel :
daa mwamba alifanya makubwa san
2026-10-14 13:01:16
4
Mo :
Familiar face
2026-10-14 18:37:02
1
𝙈𝙄𝙏𝙐𝙉𝙂𝙄 𝙎𝙈𝙄𝙏𝙃 69 :
Giroud🫡🫡
2026-10-14 12:41:52
8
ALLY 🖤💀 :
hakika
2026-10-14 16:12:48
2
Arsenal :
Mr surprise
2026-10-14 16:25:24
1
XWAX👹 KID🇹🇿🔥💥 :
alifanyaga nn babu
2026-10-14 12:49:06
0
NEW POGE COLLECTION_2026 :
UKU KWETU MPIRA SIASA KWA WENZETI MPIRA NI HESHIMA
2026-10-14 16:33:31
2
Levent Man first 2 Dest ⚔️ :
GIIIIIII.....ROOOOOOO...UUUUU.....DDDDD
2026-10-14 18:25:21
1
Johannes :
Wambie alishawah adi kudaka golin akiwa ac milan
2026-10-14 20:54:47
0
Mr guu :
we miss this Man astaafie nyumbani tu 🙏🙏
2026-10-14 16:33:22
1
kemmaswagar :
huyu arsenal hawawez msahau
2026-10-14 13:35:56
3
Issei Isack :
Remember ile scorpion kick goal
2026-10-14 17:22:03
1
OBIO_ 9090 :
GIROUD🔥🔥🔥👏👏👏👏
2026-10-14 13:37:58
1
SHAQSY Sr♍ :
Nmekumbuka lile goli lake la scorpion kick
2026-10-14 18:22:11
1
Johancy dé Sanchez :
namkubali sana huyu mwamba
2026-10-15 05:03:44
0
To see more videos from user @sportsvanta_media360, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.