@ukubwa23: MZEE NYERERE NISIKILIZE🙏🏽🤣#tiktokswahili #tiktoktanzania🇹🇿 #Nyerereday #creatorssearchinsights #tiktokkenya

ukubwa23
ukubwa23
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 10:46:12 GMT
13295
1234
61
58

Music

Download

Comments

user6688150486121
roges@2003 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]hii nchi Kuna kipande kimetoboka
2026-10-14 12:09:41
1
user3869131276990
frank :
Kira Mtu atachanganyikiwa kwa Wakati wake Yaani Huu Mwaka 😂🤣
2026-10-14 11:29:36
4
user3229911722210
david magembe :
kwan ww uko simba au yanga mbn sikuelewi
2026-10-14 11:32:53
3
humblecathy19
Silent King :
ila mkigoma unaubonda sana 😁😁
2026-10-14 12:42:47
2
ema.man.the.done
Ema man the done :
kwel kabisa
2026-10-14 13:43:20
1
kanjunju9363
kanjunju :
2026-10-14 11:15:41
2
user7302299016161
🥰🥰Esther🥰🥰 :
Nimeipendraaa io🤣🤣🤣
2026-10-14 10:49:40
4
mwashumu.nassoro
Mwashumu Nassoro :
sasa una vyo mueleza ana sikia acha kutuchekesha😂
2026-10-14 12:57:08
3
user20940450668005
kelvin haluna :
nice
2026-10-14 12:14:47
1
sara670201
SARA :
Ntakuombea upone. kabla ya unyakuo😂
2026-10-14 11:04:53
2
hamisisalumu41
2026-10-14 11:45:20
1
mtumishi.wa.mungu04
Mama wa Nne😍🥰🙏 :
😂😂😂😂
2026-10-14 10:57:55
1
sweet.love.13
sweet love 13 :
hilo ndy la msingi mengine hayamuhusu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 12:02:01
2
gradnessmawazo
gladness mawazo :
2026-10-14 12:05:41
1
swedy.juma6
Swedy juma :
broo ivi haya madini unayatoa wapi kaka amakweli mungu kwahii Dunia Yako hii uki toa uhai wa milele basi kilakitu kipo kwenye hii Dunia ulishaumba Kila kitu 😅😅😅😅😂😂😂😂😂🥰🥰
2026-10-14 14:44:46
0
asha8lutego
lutegoasha :
uko aliko ata nyerere mwenyewe kacheka[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 11:19:36
0
nadozt4
NADOZT :
2026-10-14 14:25:19
0
spark.boy60
SPARK BOY :
2026-10-14 13:54:16
0
suma.mpili4
Suma Mpili :
2026-10-14 14:11:02
0
sadicki.lukumay
sadicki lukumay :
AMESHAASIKIA
2026-10-14 13:22:09
0
misscharmie20007
Misscharmie🦋🦋 :
🤣🤣kuwa Simba Raha nyie♥️♥️
2026-10-14 13:12:52
0
asilimoney
Asili Money :
alafu ww nishakujua maswala ya mpira apo yameingiaje
2026-10-14 11:26:37
0
toji.dickson
toji Dickson :
angalau uwapoze mioyo maana uliwashambulia karibu mwezi mzima...kwa hii ya leo watakufollow🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰
2026-10-14 13:58:58
1
ema.man.the.done
Ema man the done :
point les machete mzee alale
2026-10-14 13:44:26
1
mbwana.rajab
MBWANA RAJAB :
Waislamu walidhalilika sana kipindi kile nakumbuka hata wakat tunasoma shule za serikali, ilikua hata mtu unaogopa kusema wewe ni muislamu Mwezi wa Ramadan inabidi ufiche ugali ili ufuturie ,ufiche ugali ili ule daku na kuweza kupata nguvu ya kusoma Wakiristo juma pili ilikua hatuli chakula mpaka watoke kanisani Upendeleo ulikua waz waz
2026-10-14 12:18:03
1
To see more videos from user @ukubwa23, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About