@prophet_philbertpaschal: “NABII AMUOMBEA MSAMAHA MCHUNGAJI KWA APOSTLE MWINGIRA

Prophetphilbertpaschal
Prophetphilbertpaschal
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 11:00:03 GMT
10643
305
33
78

Music

Download

Comments

user3188681477383
esta udamwa :
watoto wa mtume na nabii J . E mwingila tujuane hapa 🥰🥰
2026-10-14 12:20:11
45
juliana.chambala0
Juliana chambala0 :
kumbe niko sehem sahisahi
2026-10-14 13:15:49
5
a.mlay
a.n.mlay :
Mungu wa efatha ni mkuu sana tuzidi kumtukuza na kumtii
2026-10-14 12:35:04
14
luvia.divine.skin
LUVIA DIVINE SKIN CARE :
nimekupenda bure kwa kuelewa kuwa Baba yangu mwingira ni Baba wa kweli
2026-10-14 13:46:32
3
martha7298
Martha :
Naiogopa madhabahu ya Efatha🙏
2026-10-14 13:41:34
4
petrishaz
petrishaz :
My dady my man mwingira naogopa sana
2026-10-14 13:20:52
3
magrethmmary343
malkia💫 :
sijakosea jamani niko sehemu sahihi kwa baba yangu Mwingira babangu wa kiroho nakupenda sana[Pray][Pray][Pray]
2026-10-14 12:24:39
8
deligsyu63e
Rose :
Ni Roho ameyafunua haya kujua haya ni Neema jamani mpaka uwemnyenyekevu sana ndo uyajue
2026-10-14 14:02:29
2
magda95117
MK :
Uzuri baba yetu Mwingira ukiomba msamaha ata iwe kosa kubwa aje anakusamehe
2026-10-14 13:49:21
2
user6947746509052
user6947746509052 :
Aminaa Mt wa Mungu
2026-10-14 12:29:07
4
sophia.beauty242
Sophia beauty :
Amina baba ubalikiwe Kwa maombi yk
2026-10-14 11:10:43
3
otannabreezy
OTANNABREEZY AMORD :
EE MUNGU NAOMBA NISIIACHE HII NEEMA YA EFATHA CHURCH UNDER APOSTLE LOVELY MWINGIRA
2026-10-14 14:06:56
1
mzuna017
🦋Rah💕de Jackson 🦋 :
Mungu huyu prophet ni wetu tutunzie kwaajil ya ukuu wako Bwana💯🧎‍♀️🙏
2026-10-14 12:16:04
3
user9995041061672
teddy mpambanaji🥰🐳🐠🔥 :
mafuta ya Efatha huwaga hayachezewi Yani kwa baba yetu mwingila🔥🔥🔥🔥🔥🔥🫡
2026-10-14 13:51:08
2
user2850635518256
user2850635518256 :
sijawahi mchukulia kawaida prophet mwingira
2026-10-14 13:28:10
2
victoria.karera
Victoria Karera :
Naogopa Naogopa naogopa jamani
2026-10-14 13:18:57
2
jesca.mpinge
Jesca Mpinge :
Amina msema ukweli wa Bwana
2026-10-14 12:53:47
2
user6548467583481
AgnessAmos :
bn sisikii sauti
2026-10-14 11:25:09
2
suzzanemmanuelibr
suzzy nuelly :
tuko hapa
2026-10-14 15:00:02
0
0667292434fro
frofire💖🌹💝 :
mafuta ya efanta church ni moto Yani ni shwa shwa tulio kuwepo kusanyiko tunaelewa
2026-10-14 14:39:42
0
lizzy.elizabeth.m2
lizzy Elizabeth Michael :
Ni kosa kubwa kuumiza mtumishi wa Mungu yeyote ,akiumia hufanikiwi hata uende wapi
2026-10-14 14:33:29
0
moreenelia0
momo :
nimeogopa Hadi natetemeka mungu wa Efatha anatisha
2026-10-14 14:47:04
1
sharonbaragwiza
sharony 😍😍 :
efatha oyeeeeeee ☺️☺️
2026-10-14 14:25:42
0
rouhy800
Lifestyle🌺 :
Jamaniii 😁😁 efatha efathaa eee
2026-10-14 14:24:03
0
momy.daughters
momy daughter's :
mungu tusaidie
2026-10-14 14:08:32
0
To see more videos from user @prophet_philbertpaschal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About