kama unatambua mambo ni wantam like tukisonga 🇰🇪🇰🇪
2026-10-14 12:03:43
8
Felix Bii :
Kusoma ni muhimu aky
2026-10-14 17:35:51
1
user :
hawezi kuja
2026-10-14 11:47:20
8
prince f,mtoto wa mfalme :
hawezi
2026-10-14 11:41:34
5
shifuwasike :
hawezi jaribu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 14:25:30
1
Judas Iscariot :
walai hawezi😂😂😂
2026-10-14 17:11:20
1
aurasaina :
Kasongo atatoroka[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 16:21:10
1
toba :
apo Kuna mtu atakimbia
2026-10-14 16:00:42
2
Sh.Said :
😂😂😂 Ruto anasema Sifuna anakunywa pombe sana. Sawa, Wakenya, kazi ni kwenu! 🤣
Je, mtachagua mtu anayesemekana kunywa pombe sana, au mtahoji pia uongozi ambao umekabiliwa na maswali mazito kuhusu vifo vya Wakenya wakati wa maandamano? 😂😭
Tukianza kuhesabu chupa, tusisahau pia kuhesabu maisha ya Wakenya! 🤣🤣🤣🇰🇪
2026-10-14 15:23:50
3
chadian plumbers :
sioni kasongo akienda hio debate
2026-10-14 12:04:08
6
mwenyewe 789 :
Noma Sana
2026-10-14 11:43:44
2
murigijahman :
hawezi
2026-10-14 11:56:18
1
vin :
Hatakuja
2026-10-15 20:22:48
0
( TEP)KIJANA YA SIFUNA :
na kama ni pesa ni sisi tunampea ni mbaya 😆😅😅😂
2026-10-16 05:01:34
0
3 Star General :
wewe unajua Ruto kweli? juzi sifuna anasweat tu na Okwara Citizen TV, atawezana kweli na debate!
2026-10-15 22:30:26
0
987654321_2015 :
🤣🤣🤣🤣haweziiiiii
2026-10-16 08:55:26
0
To see more videos from user @baba_mboga91, please go to the Tikwm
homepage.