najikuta nipo mwenyew all in all ONLY YOU GOD and my family ❤️❤️
2026-10-14 13:29:41
2
fabinho kidds :
my brother maumba
2026-10-14 11:51:31
2
Sia :
Sina mm ndio wakujitoa kwa watu nalipwa machozi
2026-10-14 17:18:56
25
ELLY_MCHARO :
@felix msafwa thanks my brother 🙏
2026-10-14 11:55:12
1
Njoya Rakibu :
Sister ishaaa big up san
2026-10-14 12:06:21
0
Koi wangui♍️ :
My man 🥹🥹 alihakikisha cjawai kukosa chochote kizur kilichopo ndani ya uwezo wake I mean chochote alihakikisha napata ajira serikalin ingawa yeye bado hajaajiriwa alikuwa ananiandkia ad barua za maombi ya kazi, gharama za kwenda kwenye interview zoteeee ilikuwa juu yake kwanzia nauli,hotel yakufikiaa nk . Mungu akupehaja ya moyo wako na maisha marefu yenye aman,mafanikio,furaha na afyaa Kusoya Jacob 🥰
2026-10-14 17:05:08
14
Viber45💥⚘️🔞🖤 :
Father stephano🙏🏻🙏🏻
2026-10-14 19:09:43
1
Emanuel jerad :
daa maiko msodoki daa kaka siji kumsahau
2026-10-14 11:54:59
5
rosemwakibinga222 :
mume wangu🥰🥰🥰🥰
2026-10-14 17:06:39
9
town kid :
sir god
2026-10-14 18:36:11
1
ONE KISS TV :
dingi popote ulipo GOD bless
2026-10-14 14:29:21
2
Nancy🇿🇲🇹🇿🇲🇼🇨🇩🇰🇪🇿🇼 :
jamani nina ushuhuda Jana mdogo wangu kanipigia simu kakumbuka Yale ya zamani niliyomtendea .akasema dada Leo nimewaza sana mpaka moyo umeniuma naomba nikutumie kiasi Cha pesa .akanitumia napenda tu kusema nawapenda wadogo zangu ukoo wa mwasomola .Mimi dada mkubwa nawapenda .Hasani Gabriel Asante kwa shukrani .Mungu aendelee kututunza
2026-10-14 21:32:55
2
Tyner Felician :
My man ,Mungu akuweke Kipenzi changu 🥺❤️
2026-10-14 19:14:38
2
Shanel💫 :
ningewatag ila kuna waizi.. nawapenda san🥰🥰
2026-10-14 17:43:25
2
🌸officially catty🦋💦🎀 :
Mmmh Niko mwenyew lakin Mungu ni mwema siku zote
2026-10-14 16:18:19
5
RAHMA🍒🌸 :
Allah pekee yake 🙏🙏🙏 ananisaidia bila kunitangza
2026-10-14 19:23:29
2
سلمن :
mzee wangu
2026-10-14 12:01:53
1
ashanti :
mungu wangu tu
2026-10-14 17:01:17
0
Zizu :
dingi angu
2026-10-14 13:17:15
1
Renatus Victoris :
ema
2026-10-14 16:13:03
0
Decute Leey :
MWANAUME WANG🥺🙏 aiseee sina cha kukulipaa ila Mungu azidi kukubaliki kila cku na azid kukupa mafanikio yasiyo na kikomo 🙏
2026-10-14 17:42:17
2
hellen :
mungu ambariki sana rafiki yangu painet ndo alonishika mkono pale ambapo nilikataliwa na kila mtu lakini yeye mungu akamleta kama baraka kwenye maisha yangu mungu ambariki mno mno mno 🤞🏿🥰
2026-10-14 16:18:33
2
ZAYSOFI :
mam yangu huko ulipo uendelee kupumzika kwa amani hakika ww ulikuwa zawadi na msaada kwenye maisha yangu ila ndy ivo umeniacha lakn maombi yangu kwa MUNGU akulaze mahali pema pepon amiiin ipo ck tutaonana tena.[Pray]
2026-10-14 20:15:49
1
Luu_Kibonge :
mume wangu
2026-10-14 18:14:38
1
Debora❤️🔥 :
Rafiki angu Jack MUNGU aendelee kumtunza na kumlinda asije badilika coz nadeni kubwa kwake
2026-10-14 20:47:10
1
To see more videos from user @richardsimeod, please go to the Tikwm
homepage.