we umebadilisha audio kwenye Netflix umewek kiswahili
2026-10-15 03:01:39
0
Bin_Sinani :
nimeshuhudia hata serious nyingi tu zinazowahusisha wachina sijui ndio wakorea, wanatumia misamiati ya kiswahili kama hilo, baki hapa, polepole, nakuja, fanya haraka, na yanatumika katika muongozo sahihi..👍👍🤗
2026-10-15 05:15:20
0
Mrlight 💡 :
Wanaongea sana hata kwenye ile waikiki wameongea sana tu😁
2026-10-14 22:12:30
1
To see more videos from user @itsmaria.irl, please go to the Tikwm
homepage.