@reyvivoofficial: 🤣🤣🤣🤣Pangilia Mambo Yako mwaya HAUJACHANGANYIKIWA Ata🤣🤣

Reyvivo🥰
Reyvivo🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 12:20:06 GMT
55813
2602
183
279

Music

Download

Comments

prosperjuma1
ShakaZulu :
Genesis 1:1 [1]In the beginning God created the heaven and the earth. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2026-10-14 19:25:14
4
king.taedo_zephon
King_Apollyon#Royn :
Tutachanganyikiwa sasa...
2026-10-14 14:19:28
26
josephkavulu
josephkavulu :
Genesis 1:1 (MSG): First this: God created the Heavens and Earth—all you see, all you don't see.
2026-10-14 17:22:00
0
kikoti.255
kikoti+255 :
jamani kwani mwanzo 1:1 inasemaje, au nchi siyo dunia
2026-10-14 14:52:45
9
minaly_actress
Minaly actress :
kama ananiteka nielewe[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 14:58:09
8
paschalmethod
PASCHAL METHOD :
Dada unampenda huyu mtumishi
2026-10-14 13:15:53
12
taika.tz
Taika store🛍️ :
Alipiga deki[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-14 16:25:01
1
bonymbilinyi
bonymbilinyi :
au biblia watoe toleo lingine mbona wanatuchanganya
2026-10-14 14:49:08
4
.frank.shinje
.Frank Shinje :
kufikiria nje ya box ni kitu kizuri sana ila siyo kwenye imani😂😂,ukiwa na reasoning sana utapunguza faith. jamani napita tu
2026-10-14 18:08:33
3
jicho.la.ufahamu
Jicho La Ufahamu :
Kijana anajaribu kupata ukweli ila nae hajaufukia ila bora kajua kitu fulani hivi. Biblia si Historia ya mwanzo wa kila kitu au mwanzo wa mwanadamu bali ni mwanzo wa Mungu huyu anayeabudiwa na kristo kujitambulisha kwa wanadamu, ila vitu vilikuwepo tu, hii Biblia Historia yake ni ya miaka 6000 tu, Adamu hadi Ibrahim miaka 2000, Ibrahim hadi Yesu miaka 2000 na Yesu hadi leo ni miaka 2000, jumla 6000, sasa dunia ni kweli ilianza miaka 6000 tu iliyo pita? Hizo stori za Mwanzo 1, siyo mwanzo wa kila kitu ila ni fumbo fulani Mungu alikuwa anaelezea,
2026-10-14 17:08:03
2
ju60marck.ngowi
ju"60"marck :
napenda tunavyotoka nje yabox
2026-10-14 15:50:22
2
user1246153008129
voke :
good teaching
2026-10-14 15:02:19
0
nabii.alimas
Nabii Alimas :
Theology ya juu sana Mtumishi
2026-10-14 16:44:21
1
sanjiri1925
Emestar*-deco-lmtd :
such over thinker
2026-10-14 15:34:40
1
erickkimanijr
Erick Kimani Jr 🇰🇪🇺🇲 :
Scientifically maji ndio kitu cha zamani zaidi katika ulimwengu, nasema Ulimwengu. maji ni kitu cha kwanza kuwepo. maji tunayotumia leo yana miaka zaidi ya trilioni kadhaa
2026-10-14 15:06:15
2
kanumajr09
Alphonce kanuma09jr :
huyu pastor anapatikana wap? jaman nimemuelewa sana
2026-10-14 19:25:42
0
user30247154051
Gianna@Giana :
mmmh mbona kama kuna neno happ
2026-10-14 17:16:20
0
evfwayajdemwa
EV Fwaya J Demwa :
2026-10-14 15:51:20
1
omusa_254
Saint Steven :
2026-10-14 16:01:32
1
jicho.la.ufahamu
Jicho La Ufahamu :
Muda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi, hawa waliotafsiri Biblia walitudanganya mno, ila labda na wao hawakujua ila tunakoelekea kila kitu kitakuwa wazi tu
2026-10-14 17:10:14
1
dr_maeda
Dr E. H.Maeda :
Wengine tuna miaka 20 tukisema hivyo tunaambiwa tumehasi maandiko. kuna pastor mmoja alinuambia sikusoma maandiko vizuri kwa sababu sina roho mtakatifu🤔
2026-10-14 15:21:29
4
erickmodest2
rick :
Nawaambia waumini wenzangu ila huwa wananitukana tu ASANTE kwa ujumbe
2026-10-14 15:35:08
1
user6112411110094
WD8TN :
hiyo ni kweli bro
2026-10-14 16:02:04
1
stan_designers_tylesh
@st⭐n designer :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] wafiaa din wata kutukana
2026-10-14 14:15:02
3
juma.simon3
mayanga :
huyu mchungaji anaitwa nani
2026-10-14 15:13:25
1
To see more videos from user @reyvivoofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About