Niliwakomesha ile siku nilivowaambia mimi sio familia yao🤣🤣sina undugu nao🤣tena damu hatushei kabisa🤣🤣🤣nilivomaliza kuongea niliblock wote🤣🤣🤣hawaez sahau!!! sitakagi mazoea!!!!!
2026-10-15 12:02:59
4
habby💝 :
jaman mm unanivuraisha unanifanya nacheka hata kama nilikua na huzuni
2026-10-15 07:48:33
4
Miss_Oliver🌸 :
𝘆𝗮𝗻𝗶 𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮𝘆𝗲𝗻𝗶𝘁𝗮𝗷𝗮 𝗻𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗮𝗲
2026-10-14 22:01:02
8
hustler lady6 :
leo sio shegeshaa unanivunjaga mbavuu
2026-10-15 13:10:09
1
I'm Sherinetz 🤍🩷 :
Mbona kama wanatulazimisha kuoelewa sie hembu kwanza😂😂😂😂
2026-10-15 11:34:46
2
iam_joie22🦋🤍 :
Ila sk hzi kila kitu tusioolewa kwani mbkna kutuandama
2026-10-15 10:12:48
1
Hekima Laurent :
😁😁😁
2026-10-15 12:52:22
1
zeperfectney10 :
👌
2026-10-14 17:45:26
1
cutemaya156 :
birashaka kakutuma shangaz 🤣🤣
2026-10-14 19:53:21
2
Bestar🌠❤️💯 :
Kuwakumbusha tu🤣🤣🤣
2026-10-15 16:44:30
0
ChosenByGrace🌸 :
2026-10-14 19:26:28
1
kenny __creator :
2026-10-15 16:31:38
0
Jada🌺 :
2026-10-14 20:24:11
0
boss lady❤️🇹🇿 :
❤️
2026-10-14 16:31:17
2
Winnie🤍 :
2026-10-15 15:05:09
0
mrs_Reuben :
2026-10-15 04:11:00
0
Baby Saad :
🤣🤣🤣nimecheka
2026-10-15 17:22:50
0
Beiyyu Khalfan :
maan naona washanisahau
2026-10-15 17:31:10
0
Veronica Ntangwa :
Daah🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-15 12:13:02
0
𝓜𝓼 𝓗𝓮𝓻𝓻𝔂 ❥ :
Nawasubir tu na wasiponitaja najitaja niwaanzishie vurugu 😂
2026-10-15 06:30:03
1
Enny's Choice :
😂😂😂 hawataaamini natema cheche kama dragon
2026-10-15 07:41:40
1
To see more videos from user @manyindaa, please go to the Tikwm
homepage.