@msomi_motors: UMEELEWA AU BADO?? Unahitaji huduma bora za magari? Tuko hapa kwa ajili yako! 🚗 Tunatoa huduma zifuatazo: ✅ Kuuza gari lako haraka ✅ Kuagiza gari kutoka nje ya nchi ✅ Kununua gari hapa hapa nchini ✅ Mikopo ya magari ✅ Exchange / Top-up ✅ Kubadili umiliki ✅ Clearing & forwarding – kutoa gari bandarini ✅ Na huduma nyingine zote zinazohusu magari 📞 Piga au WhatsApp: 0744 122 864 0682 051 285 Huduma bora • Haraka • Bei nafuu • Uaminifu wa hali ya juu #drivinglessons #drivingtips #drivers #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp

Msomi 360
Msomi 360
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 12:25:01 GMT
16354
741
17
18

Music

Download

Comments

jlulatz
home boy :
j nkiwa na daraja E tu swez kuendesha gar zote
2026-10-14 15:38:01
2
alikothomas92
kanyita 69 :
iyo H mbona haipo apo
2026-10-14 18:37:01
1
madina.herbal.01
madina herbal 01 :
Leseni mnatengeneza
2026-10-14 15:13:44
1
user539292008673
Roy fighter :
D Mbn akuna ap mkuu
2026-10-15 05:02:04
2
user5456655124638
charles :
mbn amn basi
2026-10-14 14:50:21
1
ibraahmg
Ibraah Mg✌️ :
Natarajia kupata leseni yangu hivi karibun naomba kujua naweza kwenda moja kwa moja kusomea advanced driving grade II VIP bila kuwa na muda kusubir
2026-10-15 07:34:07
0
tonytz80
Tony Tz :
Naomba kujua zamani ukiwa na c unaendesha gari zote vipi Kwa sasa.
2026-10-15 11:44:21
0
askofu_tz
shabby🌍 :
kuongeza daraja kwenye lesseni na kukata lesseni kwa mara ya kwanza gharama ziko sawa?
2026-10-15 03:46:11
0
c.e.o.wa.maoperator
OP MPANZOJR🇹🇿🚜🥾🦺 :
Uweke number zako tukuokoteshe sasa Maana Walimu wenzako wanalipwa
2026-10-14 14:40:29
1
kivuyo1313
KIVUYOALFRED@ gamail com :
🤣
2026-10-14 18:13:30
2
To see more videos from user @msomi_motors, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About