@dr_daniel_md: 🥩 NYAMA NYEKUNDU AU NYAMA NYEUPE: IPI NI BORA KWA AFYA YAKO? Je, unajua tofauti kati ya nyama nyekundu na nyama nyeupe? Na ni ipi bora kwa afya yako? 🤔 Katika video hii, utajifunza faida na madhara ya nyama nyekundu kama nyama ya ng’ombe na mbuzi, pamoja na nyama nyeupe kama kuku na samaki. Pia, utajua ni ipi unapaswa kula zaidi ili kulinda afya yako. Usisahau: Aina ya nyama, kiasi unachokula na namna unavyoipika vina umuhimu mkubwa kwa afya yako! ❤️ 🎥 Tazama video hadi mwisho, jifunze na ushiriki na wengine ili nao waweze kuchagua lishe bora. #Afya #LisheBora #NyamaNyekundu #NyamaNyeupe
hata ingekuwepo nyama nyeusi ningekula Tu siku ikifika imefika🙌🙌
2026-10-14 14:09:48
6
lightnessmmbando83 :
maini je yanakuaje
2026-10-14 14:22:32
0
logician :
inasemekana nyama ya mbuzi inasababisha typhoid and brusela
2026-10-25 12:04:03
0
A1 :
Sasa kama nyama nyekundu inamadhara kiasi hicho vipi sasa kwa wale wanyama wapolini wanaokula nyama nyekundu tena mbishi????😅😅😅😅
2026-10-14 13:23:53
2
user57524042883718 :
nyama ya mbuzi je ikoje Dr?. ni nyeupe au nyekundu
2026-10-14 17:10:50
1
sikudhani Salim :
You are more than a Doctor.Thanks.We are following you from Kenya.
2026-10-22 04:13:03
0
God were the first for my life :
dr dn, mm nina changamoto moja,, nakulachakula kwawakat unaofaa na ikifikamda choo kinaniita basi naenda,lakini sasa nikipata kilechoo kinakuwa nikama hakijameng'enywa vizuri, mfano kama nimekula mboga zamajani basi zile mboga kwa%flan zinatoka kama zilivyo,so nilitaman nijue shida ninini apo dr,
2026-10-20 11:54:21
0
Alice Kitambala :
kuku
2026-10-25 04:45:12
0
lucypink10 :
nyama ya mbuzi ni zuri
2026-10-23 07:43:21
0
nyasima mtipa :
white meat is the best
2026-10-14 18:31:51
1
miss dija :
sawa ni kuku mshindi ila kuku gloila si Hana shida dokta
2026-10-15 17:37:19
1
Michael Mmasy :
Dr unasemaje kuhusu samaki?
2026-10-14 18:52:49
1
bomboclat_250 :
hakuna kama kula samaki
2026-10-14 13:59:23
0
Ally :
nyama ya kuku ni salama Kwa afya
2026-10-21 15:20:29
0
Victoria mamen :
Siachi kula nyama ng’o mseme mtakavyosema.
2026-10-17 05:06:23
1
Neema Nyeigana :
𝐕𝐩 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐫𝐚𝐠𝐞 𝐦𝐞𝐤𝐮𝐧𝐝𝐮 𝐃𝐫🤗
2026-10-22 07:54:49
0
Paulina Namsonga :
nyama nyekundu
2026-10-14 12:50:43
0
Ngonifaceless channel :
vyote tumeruhusiwa kula,
2026-10-15 18:34:30
1
Erick okay Cubaka :
jambo docta na aksanti kwa shauri zako Mungu akutiye ngufu💪 nakufwata kwa makini mimi nakulaga nyama zote sijui nikuwe nakula kiango gani kwa siku
mimi ni Erick okay toka congo bukavu