@mnyalu13:

michael
michael
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 12:44:45 GMT
63015
5001
264
95

Music

Download

Comments

yuu012nnko
yuu nnko :
for sure 🤝
2026-10-15 15:52:15
0
j.s.m542
J S M 0586 :
daa umesema point san
2026-10-15 14:39:24
0
raphaelboe2
💲it's phaelmotion🌴 :
nyumbani sio matajiri sana ila hatukuwahi hat siku moja kulala na njaa respect saan kwa BABA 😭😭
2026-10-15 04:23:32
50
tildah.kikoko
Tildah Kikoko :
ukikaa na mama rahis sana kuambiwa mabaya ya baba,
2026-10-14 17:43:46
44
petertz0
Captain Piere🫈 :
respect
2026-10-14 16:17:17
0
erastoo48
elly :
mbona kama unaniambia mm kaka
2026-10-14 13:57:20
23
hamzamohamed1228
Hamza :
sahiiii
2026-10-15 16:13:45
0
samlay071
Samlay_tz :
Gonga like hapa kama unamkubali BABA
2026-10-14 17:13:45
21
abrazaki180
Abrazak :
sahihi [Thinking][Thinking][Thinking]
2026-10-14 16:38:04
1
arcadoblazi
arcado :
juzi kunakutendo alinifanyia mama nikamwambia baba angu alikuwa sahihi kukuacha
2026-10-14 16:42:41
11
user2463111196104
user2463111196104 :
umenena kaka
2026-10-14 18:56:58
1
franciscofungame4
Francisco Fungameza :
iyo haina kipingamizi
2026-10-14 15:42:04
5
twlibuhassan
Tony wizze :
owa ume nifanya nilie mwanangu nijuea tik tok itaniliwaza lakin mwanangu uwezi amini niezinguwan na fadher roho moyo nafs vina nisuta ntaenda kuomba msamaa kaka kwajili yakauli yako respect broo mungu akulinde sana mwanetu
2026-10-14 16:21:38
6
hassanmark600
Hassan Mark :
ila bro umetonesha kidonda nilichokua nimeanza kupona dah sem bc tu!
2026-10-14 16:15:40
6
selenga01
mozes user5184677171159 :
sahihi kabisa kuna mambo tume aminichwa n'a mamazetu kuusu Waze kumbe ni tafauti
2026-10-14 17:01:13
5
tarimo.peter
TARIMO PETER :
hiyo nimependa nilikuwa na mchukia baba lkn saiv nimeona alikua sahihi kukaa mbali na mama
2026-10-14 18:31:42
6
user70313416810078
kahema42 :
broo mim wakwanza nilikua namchukia mzee leo ndo nime jua kumbe hata yey bab yake hakumtengenezea maisha ni zam yangu kupambana ili niokoe familia
2026-10-15 00:58:24
5
kenedykamnde
007kenny :
Uwakika familia 🫡🫡🫡
2026-10-14 19:02:06
2
rubuye.nelson
rubuye nelson :
Hadi namuona baba kua nishujaa
2026-10-14 21:37:50
2
patten649
It’sLikad church 2👩‍💻 :
Ila so mondi
2026-10-14 15:22:27
2
paul12tz
@Paul001 :
baba apewe eshima Kam zote
2026-10-15 04:08:55
2
zakayo.malogo.sho
zakayo malogo shomi :
si kwa baba angu mm
2026-10-14 17:56:26
1
juma.muhanji
Juma muhanji :
sio kweli,kuna muda kina baba tunatumia vigezo vya kukosana na wazazi wenzetu ili tukimbie majukumu hakuna ugomvi wala marumbano yasioisha milele ni upumbavu na ujinga tu,maovu ya mama au tabia zake zisikufanye ukaacha kumuhudumia mtoto,mimi nilikua mpaka nampigia simu baba namuambia baba nimeshakua naomba unisaidie nianze shule mama hana uwezo,lakini aliniambia nisiwe nampigia simu,kanifanya mpaka niuze machungwa na mboga mboga ili nijinunulie vifaa vya shule,sasahivi ndio ananiona mzuri na kulalamika simsaidii,aiseee mimi sina wema huo,hakuna kama mama yangu hata iweje
2026-10-15 05:42:41
4
user2880223757997
mady hero :
broo namba nikuchek dm tuzungumze kidogo kama hutojal
2026-10-14 16:17:17
0
ubwela8
ubwela :
popote ulipo baba angu nakupenda sana
2026-10-14 15:49:26
2
To see more videos from user @mnyalu13, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About