@selphix_media1: Msemaji wa klabu ya Simba Sc Ahmed Ally na Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Sc Ally Kamwe wakiwa kwenye Bonanza Maalumu la Kukuza Vipaji vya Watoto linalofanyika katika Shule ya Holistic Cradle Schools. Bonanza hilo lina lengo la kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya watoto kupitia shughuli mbalimbali zinazowapa fursa ya kuonesha uwezo wao. Pia wamepata nafasi ya kushiriki katika challenge ya kupiga pigo la penati, na ali kamwe hakakosa na Ahmed Ally akapata penati. Kuna dalili gani ? Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media kupata taarifa nyingi Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zaidi #SelphixUpdates #selphix_media