watoto kama babayao roho safi [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-15 14:30:10
0
user7881861790762 :
Your Elder daughter has a motherry heart, I see her taking care of her relatives pulling them closer ... hongera 🥰
2026-10-15 04:52:18
0
Bwayy :
Utotoni nilikuwa kama huyu😔😪
2026-10-15 12:28:11
6
RABBATUL-BAYT❤️💜💜💜💜💜💜 :
huyu mkubwa mwambie apunguxe huruma binadamu wabaya .
2026-10-14 19:19:30
12
min@@h madrid🥰 :
enzooo wetuu umekuza mashaallah
2026-10-15 08:55:51
0
l l m y :
uyu mkubwa n mtoto mwenye tabia nzur akue awe ivo ivo 🥰
2026-10-14 14:38:51
69
Suzy Philipo❤️❤️ :
Kweli baba bora kuna sisi tulio zaa na baba bolo
2026-10-14 18:21:53
80
ummiy photography :
uyo mkubwa mashallah ako na roho nzuri🥰🥰
2026-10-15 05:40:29
10
jeyca :
Jamn mtoto anaroho nzuri na huruma kama wangu[Heartwarming]
2026-10-14 16:09:33
28
Am millie :
huyo mkubwa ana upendo sana wallah 🥰🙌
2026-10-14 17:19:34
60
Tayana Tz :
huyo mkubwa anaupendo sana
2026-10-14 14:36:58
70
Naishaz_luxe✨💫 :
siwez pita bila kusema ili, uyo binti mkubwa ana moyo wenye upendo mashaallah ❤️
2026-10-14 16:34:50
176
💞🌹Ashwaaq Beesa🌹💞🇸🇴🇹🇿 :
uyo mkubwa mashallah anaroho saf 🥰
2026-10-14 15:35:16
16
tibuzo03 :
Hakuna yeyote aliezaliwa na chuki binafsi au ubaguzi. ukitaka kujua hilo zingatia upendo wa watoto upo kwa kila mtu bila ya kujali hali yake . ila kadri tunavokua ndio chuki hujazwa kwenye mioyo yetu dhidi ya watu fulani.
2026-10-14 17:03:52
18
usercathey mgonja 210 :
uyu mtoto mkubwa MUNGU azidi kumbariki ana upendo Saana [Red heart]
2026-10-14 15:25:54
7
Belmont 📯🧲🕶️ :
safi sana kaka una ishi maisha
2026-10-14 14:13:38
13
~Davis~ :
hii asa mi najichekesha nn [Teary eyed][Tears of joy] nitafute wangu pumbavu mimi[Tears of joy]
2026-10-14 15:09:15
10
Umm Ahmed♥️🕊 :
Watoto wa kike na baba zao❤️🙌
2026-10-14 17:29:36
2
Faith :
UMEONA UPENDO WA MAFIRST BORN MMMH HAUZUILIKI
2026-10-14 20:06:24
3
lovenesjj :
huyo mkubwa ana roho zur sanaa nime mpenda sanaa mung amtuze
2026-10-15 08:09:44
1
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm
homepage.