@millardayo_: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amesema takwimu zinaonyesha kuwa takribani Watu milioni 1.7 wanaishi na Virusi vya UKIMWI (VVU) Nchini Tanzania. Akizungumza leo, Oktoba 14, 2026, Mjini Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, Ndejembi amesema VVU na UKIMWI bado ni tishio kwa Taifa, huku kiwango cha maambukizi ya VVU kwa watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi kikiwa asilimia 4.4. Kwa mujibu wa takwimu alizozitaja, Vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 ni miongoni mwa Makundi yanayoathirika kwa kiwango kikubwa, ambapo takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia UKIMWI (UNAIDS) zinaonyesha kuwa takribani asilimia 30 ya maambukizi mapya ya VVU hutokea katika kundi hilo. Aidha, amesema Wasichana na Wanawake Vijana wanachangia sehemu kubwa ya maambukizi mapya ya VVU miongoni mwa Vijana. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 14:01:55 GMT
28745
972
47
51

Music

Download

Comments

aisha.omary197
-it's isha❤️🦋🦋😜 :
hapo bado na wengine hatujapima😅😅😅😅
2026-10-14 14:10:19
27
juniortz_5
JUNIOR :
apo hesabu yangu Haipo bado
2026-10-14 14:38:27
6
wilkystanyangokomkono
🌸💖 𝒲𝒾𝓁𝓀𝓎𝓈𝓉𝒶 💗✨ :
kpenz changu umeckia[Heartwarming]
2026-10-14 14:29:20
0
iam_tunu
🎀Dada✨Tunu🎀 :
Msituandike majina plz 😂😂😂
2026-10-14 15:09:47
1
silvanusnyangi
MR. Casio :
hao watu million 1 wenye VVU serikali iwahamishe ili tuanze upya
2026-10-14 14:49:56
2
user7605545069729hellen
hellen :
eeee mungu naomba naomba niepushe na hu ugonjwa
2026-10-14 15:23:04
2
prime_niccoh17
(Prime~niccoh)📍 :
Sipend umbea nusunusu si mtoe na majina
2026-10-14 15:52:21
0
pascalpaul47
Pascal Paul307 :
Vizuri
2026-10-14 14:04:39
1
johnkimario336
John Kimario :
sauti ya mamlaka iyo💪
2026-10-14 15:00:46
2
unique.babe104
Unique babe🇹🇿🇹🇿 :
ndo maana naogopa kudate na watu me niko single😁😁
2026-10-14 16:27:11
0
eva.mushi34
Eva mushi :
hapo bado afcon haijafika itakua watu milion 20
2026-10-14 16:24:23
0
yasinta.kisholi
Yasinta Kisholi :
majina vepe
2026-10-14 15:58:53
0
gomez21856
Difu KHAN :
ndio maana sipendi kwenda kipima vvu
2026-10-14 16:04:00
0
its_suedidy
Keku🥀 :
Tuendelee kupimana kwa macho😀
2026-10-14 14:54:07
0
naffy_mo
naffy_mo :
Kwa kweli mungu atusaidie hujafa hujaumbika hatuzijui kesho zetu
2026-10-14 15:18:15
0
kelvinjonston1
OP MGANYIZI 🚜🦺🇹🇿🇨🇩 :
Na MAFISADI JE
2026-10-14 14:06:42
0
chagaagirl30
chagga girl :
Tanzania itapata tuzo sasa naona tunajitaidi sana😂😂😂
2026-10-14 15:42:12
0
noelwn6
noel wilfred njau :
DAA NABADO WALIOPATA LEO NA WANAOTARAJIA KUPATA LEO😳
2026-10-14 14:45:02
0
hamisikinunga70gmail.com
KINUNGA Tz :
Alooo milard kwa ninavyokuanaga na Harakati zako zile utaokoka hapa Kweli
2026-10-14 14:10:20
0
annastazias.mussa
MRS GUEYE :
2026-10-14 14:06:56
0
vaga7411
vaga :
JE WANGAPI WANAISHI NA UMASIKINI ila hii nchi inazidi kupambana na vitu hivo hivo kila siku ila hawajafanikiwa hata kwa 20% kila siku bangi ila kuna watu ni maskin vibaya
2026-10-14 14:17:03
0
king.dsm09
KEMMY09 :
Tunaomba muwazuie wasiingie mpaka wa Dsm maan mwezi huu wa 10 kuna 1st year nawasubir
2026-10-14 15:24:15
0
upendoakio
ANGEL :
baba wa kichaga umependeza
2026-10-14 15:10:25
0
lidyaaloyce68
Lidya Aloyce :
mungu atusaidie jmn
2026-10-14 14:17:15
0
9thespiritofhealing
Maasai herbs point :
wenye uti ni nchi nzima😁
2026-10-14 14:43:06
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About