@diaspora.voice: je suis contant

Jonas Kano
Jonas Kano
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 14 October 2026 14:11:20 GMT
26152
1730
205
189

Music

Download

Comments

mika.danniel0
Mika Danniel :
Kuna mtu namfahamu tena ni msukuma mwenzangu alikuwa anatoa elimu za hivi tena kuliko wewe maana amesoma sana na hakuna nchi hajakanyaga lakini saivi anamuhubiri huyo Yesu ambae ww unamuona tapeli HUWEZI ONA UMUHIMU WA YESU KAMA HUNA YESU HUWEZI ONA UMUHIMU WA BIBLE KAMA HUMJUI ALIE ANDIKWA KWENYE BIBLE wanadamu tukisha kula nakushiba nakupata vijipesa kidogo tunajisahau nakuongea kwa mihemko lakini wacha shida ikupate ugonjwa tu kidogo kuna jirani yangu alikuwa hataki kusikia habari za Mungu kabisa lakini aliuguaga nilishangaa anatuma watoto wake niende nikamuombee namimi sio pastor na alijua anakufa but nini kilimsukuma kuumpa Yesu maisha baada yakuona anamasaa machache afe tena aliniambia nisimuombee apone alisema nimuombee sara ya toba atubu madhambi yake maana anaona safari yake imefika so watu kama wewe sisi hatubishani na wewe ila ukatae ukubali Mungu akikutaka atakupata tu muda ukifika na utarudi hapa kutuhubiria habari za Yesu niswala la muda tu JESUS IS REALLY
2026-10-14 14:38:56
8
kavava.tv
Benjamin Kalonzo 🧑 official :
very good Africa we need technology not religion
2026-10-15 19:12:49
0
neema.kasaya.joyce
Neema kasaya joyce :
Yesu atabaki kuwa Mungu upende usipende hatutamuacha.yeye ni alpha na omega mwanzo na mwisho hakuna mwingine
2026-10-14 22:10:12
2
user4810377698734
@@@@2560 :
un jour nous tous nous serons obliger de justifier chaque parole chaque action que nous avons fait
2026-10-16 10:11:00
1
ireneshabani7
ireneshabani7 :
Kaka mungu yuko kweli kama ujamuona wewe sisi tumemuona kweli iposiku utamuona mungu kwa shida ao kwa raha mungu iko ndugu yangu kweli usichezi na mungu wa kweli
2026-10-14 16:46:41
2
elia.munga2
Man Of God :
Nalilia Dunia na Africa Yetu maana bila yesu tumekufa Sisi 🔥🔥
2026-10-14 14:25:47
1
user9733411940978
innocent :
wapinga kristo
2026-10-14 18:29:24
1
moise.noa.ami.de
NOA💡💡📷✅🇨🇩🇨🇩 :
Afrique iko na lamuka pole pole
2026-10-16 09:24:57
2
femmedegloire1
Dieu n’est un homme 💃🏻💞✍🏾 :
Na mupenda sana Yesu 🙏
2026-10-15 09:26:13
2
nknicolas001
nk nicolas :
jonas
2026-10-15 08:07:12
0
mapolimglord_group_offic
MG Mapoli_BUSINESS :
Washa elewa wana kuya njo na stratégie ingine chef 😁😁😁😁
2026-10-14 15:22:48
2
fiziano4
FIZIANO♥️ :
Mimi naamini Kuna nguvu iliyo juu ya binaadamu lakini Sio yesu maana Sisi binaadamu hata tukiomba yesu hatuoni mabadiliko yoyote
2026-10-15 12:08:50
3
sarahsadiki70
sarah sadiki :
Aah seigneur 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-15 12:45:45
2
aimemwilambwe2
aime Mwilambwe :
tumeanza ku kombolewa
2026-10-14 14:28:23
5
elegancemarie853
Elegance store :
yesu kristu yule jana leo,kesho na hata milele bienu biko null et sans effet, dans le nom suppreme de jésus christ de nazareth, damu ya yesu kristu iko juu yetu hamuna uwezo.
2026-10-16 09:44:28
1
pmenfant243
Eenfant Bbenit Mmuvunga Pm :
quelque chose à féliciter 🤝
2026-10-14 17:53:04
1
yes.boy.dj.idengo
yes boy dj idengo :
oui oui
2026-10-15 10:05:47
0
adolphe722
user4361630822777 :
félicitations mingi peuples africains je suis rempli de joie immense
2026-10-16 06:20:39
0
pacifiquebasimike
Pacifique Basimike :
sasa ulizo langu nihii kwako mungu yupo wala haluwagi??
2026-10-15 11:28:30
0
jercussesaasitapi
JERCUSSE SAASITA PIRGER PIRGER :
ilenikweli kabisa naikubali vizuri sana vraiment courage pp
2026-10-15 06:04:36
2
ceasarsalumu
Cesar :
Jonas mungu akubariki njo Visions tunaitaji, iyo kaka siye vijana tuendeketa tuna wambiya wadungu zetu wafunguke akili 🙏🙏merci sana tusichoke kaka, natupendane jonas tusiwe na roho mbaya
2026-10-14 15:09:03
2
laforcedesasseoir
ARLY❣️ :
Unabipenda juu banakusemeya
2026-10-14 14:40:08
3
guelord4313
guelord :
Merci beaucoup pour votre compréhension. L' Africa c'est la source de la Bénédiction. Fini la récréation il faut se mettre au travail.
2026-10-14 16:51:09
1
dieubon_mwenge
@dieubon_mwenge :
Adui ni kanisa
2026-10-14 20:07:44
1
musazi300
musazi :
Eveil de conscience déjà hotep famille
2026-10-14 15:20:28
1
To see more videos from user @diaspora.voice, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About