natamani nieke lakies hata mara tano🥰🥰🥰🥰 Am proud a lot to be catholic🥰🥰🥰
2026-10-15 11:08:56
0
Teddy💞♥️💕💓♥️ :
catholic forever
2026-10-15 11:01:43
0
thinercute2 :
forever my church🥰🥰🥰
2026-10-15 09:31:15
0
rosy :
Mkatoliki mwenzangu mapendo❤️
2026-10-15 09:25:31
5
yvettedecute :
Mm ni mkatoliki lkn mtu wangu kaokoka akaanza kuniita mama mchungaji,,,, 😏ndo tuliachana hapohapo cwez Toka Catholic mm neverrrrrr 🥰🥰🥰
2026-10-15 08:01:47
5
Sizalina Francis Miho :
Nimeolewa kkkt mwaka wa tisa huu siwaelewi sijawahi vua rozari kuna mda naenda zangu roman moyo umeshindwa kabisa kuacha ukatoliki wangu
2026-10-15 08:28:46
5
vitalisfesto :
am proud to catholic
2026-10-14 19:25:35
1
hildamghamba245 ♒️ :
yani nikisali rozali naskia raha napata majibu vzr tuu
2026-10-15 03:47:18
7
Selvina Sanga :
yaaan ninafanya kazi za ndan kwa waislam kila leo wananiambia nibadili dini jibu langu huw ni moja tu nimekuja kufanya kazi na sijaja kubadilisha dini na kila kumapil naenda kanisan mpk wameamua kuniacha kam nilivyo mda wa kusali rozali navaa zangu iyafon naanza kusali watajua wenyew huk kila mtu na dini yak na imani yak
2026-10-15 08:03:44
5
CALVIN :
Na sanamu zetu tunatambq nazo.Catholic forever
2026-10-14 21:37:51
4
Teddy Kasonta :
Nimezaliwa kwenye moja Takatifu katoliki nimebatizwa mimi nimkatoliki🙏halafu kuna mtu anasubilia niwe samaleko aniowe😄😄😄haitawezekana kwakweli
2026-10-15 06:40:12
3
Flovi💕🌸 :
Catholic forever🙏🏾🙏🏾
2026-10-14 18:12:27
0
Anna Swai :
catholic yangu naipenda na sijawahi kutamani kuiacha ♥️♥️
2026-10-14 19:09:24
6
Daddy's Daughter :
yaaani kuna muda mpka nakata tamaa ya kuendelea na uyu mchumba angu nampenda ilah nikifikiria ni msabato nachoka mimi 😒Dah Mungu nisaidie tu maana nashindwa kualewa🙌
2026-10-15 05:47:02
0
Avemaria🤗 :
Moja takatifu 😂la mitume 🥰
2026-10-15 03:51:47
3
Helena Ngoty :
hamna cha kunitenganisha na Catholic ata nikifa bado nitaombewa nia ya misa ko ata kifo pia akiwezi nitenganisha na Roma❤️
2026-10-15 08:47:03
1
Judy :
Nasoma hii post huku nna kijana wangu wa kiislam.
2026-10-15 05:58:31
0
verena :
Huwa hatutetereki Wakatoliki🙏 ila NAMI nina kijana Muangrikana so nitahamia tu huko Agrikana mana najua utofauti wetu ni mdogo sana kati ya Katoliki na Agrikana
2026-10-15 07:21:33
1
Mama bonge :
KRISTU
2026-10-15 07:23:26
1
chabbyofficial🦋🦋💓 :
2026-10-15 13:00:49
0
Theben_19 :
We were built stronger than
2026-10-15 12:38:02
0
Susan Morasi :
Juzi tulikuwa kwenye maandamo ya Mwezi wa Rozari jamaa mmoja akacoment kuwa tunaabudu sanamu ya Bikra maria nikamjibu…. sawa we Linda imani yako niache na sanamu yangu
2026-10-15 12:28:59
0
Noela Pascal :
tuliozaliwa catholic na kukulia catholic tukaoa na kuolewa catholic mapendooo
2026-10-15 12:56:50
0
To see more videos from user @officiallykalida, please go to the Tikwm
homepage.