@jasusimsanuaji: Baba wa taifa alisema hii nchi si ya majaribu msijaribu tanzania nyie wanaharakati na chadema mtuachir nchi yetu tuna amani nayo HAPPY NYERERE DAY #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #fyyyyyyyyyyyyyyyy #trending #fypシ゚viralシfypシ゚viralシalシ
JASUSI MSANUAJI
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 14:46:33 GMT
Music
Download
Comments
chosen one :
Mzee alikuwa mbelee ya Mudaa
2026-10-14 17:23:55
5
addy victor 🦋 :
😂😂😂duh alikuwa mbele ya muda
2026-10-15 06:20:46
4
Mizzo Boy TZ :
Hi ni bonge la ujumbe eet mkopea uraisi ambaomba raia duha Sasa ukimpa Nchi cndio ataiuza kabisa, unakuta sera zao zote zipo marekani 😂
2026-10-14 18:44:36
3
Fahari Moja Halisi :
Hii imekaa vizuri, chama hakina hata consistance ya mambo yao wataweza kuiendesha nchi? Tumeshtuka
2026-10-15 05:27:01
2
""The Matthew Jr"" :
Kumbe hakuwaacha salama 🙌,sema hakujua kuwa hayo ndiyo dunia ya sasa inayataka yatokee Tanzania. Apumzike kwa amani baba wa Taifa 🙌
2026-10-14 18:52:47
2
BABA T MOVIE POINT :
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
2026-10-15 15:06:16
1
user9091799307129Mzalendo tz :
my father 💪💪💪💪💪💪❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️
2026-10-14 17:20:54
2
user9801281763611 :
tunafatausia wako baba
2026-10-14 16:58:01
2
Dr. DK :
Amani hawaitaki
2026-10-15 18:53:07
0
user59480082235985 :
huyu mzee aliona mbali sana
2026-10-15 04:13:22
2
Um Raneem 💞 :
💯💯💯
2026-10-14 19:31:14
1
user818263508440 :
Hapa mwalimu ametabiri kweli 💯
2026-10-15 02:52:42
3
Mr Mtu Kwetu :
kumbe baba aliwajua ndio sasa yanatufika
2026-10-14 16:53:05
1
RMP Diagnosis :
kumbe ata mw.nyerere aliliona hilo?
2026-10-26 13:59:05
1
Alex Gwilla :
Asante sana Mzee Baba huko uliko Endelea kutuombea Mwenyezi MUNGU atuondolee Shari za Wenye Shari.🤔👏💪🔥
2026-10-16 04:31:22
2
user9529399465655 :
nasasaivi tunaona sera za kashifa na matusi wanaongea kwa hasira duh 🙄
2026-10-16 03:57:41
2
Fikiri Emanunuel :
Chama kinaongozwa na wanaharakati walioko nje ya nchi,haya ni maajabu ya dunia.
2026-10-16 14:32:27
1
𝔸l𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
kabisaaaaaaaa
2026-10-25 15:34:55
1
Baraka Elias :
CHADEMA WENYEWE WAMESHIDWA KUDHIBITI USALITI KWENYE CHAMA CHAO HAWAWEZI KUIMILIKI NCH WANAONEKANA KUWA NA TAMAATU YA MADARAKA
2026-10-15 17:41:21
2
cuzo jr :
kumbe baba alimaliza kitamboo na hamsemi ss tumeipata🤣🤣
2026-10-26 20:50:47
0
nyambo khanvo :
kwanza anae hitaji nchi anauraiya wainch nyngine amakweli siasa nikchwa chawenda wazm kweli
2026-10-31 03:08:42
0
user3845760855822 :
hatuwezi
2026-10-26 10:40:22
0
محمد سلوم الغيثي :
wataendesha vipi wamegoma kula
2026-10-25 19:25:31
0
msuguri :
Nikweli watz wamelewa amani kabisa ndio maana Tec wanasema Bora kutengeneza kilicho haribika
2026-10-27 16:03:46
0
user24024190945116 :
Kumbe hata baba wa Taifa alishakataa kuwapa wapinzani kuongoza Miji mikubwa kama Dar esalaam 🙏🙏🙏✅✅
2026-10-20 09:58:36
0
To see more videos from user @jasusimsanuaji, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.