@mr.president_nafuboy: MITAALA IWEKE SAWA IENDANE NA MAISHA HALISIA YA MTANZANIA 🤣🤣🤣#funnycomedyskits #nafuboy_comedian #goviral #trending #watajambasana @FAMDT_PAGE

NAFUBOY_COMEDIAN
NAFUBOY_COMEDIAN
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 14:50:10 GMT
112897
12890
580
346

Music

Download

Comments

agapit.kavishe
Agapit Kavishe :
maninaaaaa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-25 14:22:35
0
princesmorine0
[email protected] :
Basi Kuna Wale akishika nafasi ya tatu darasani analia kisa nafasi yake ya kwanza saivi kiko wapi???😅😅😅😅
2026-10-14 14:59:05
97
user7127056079926
user7127056079926 :
hapo umechemka bro,Zile meli ni kanuni hiyo imetumika,soda,maji unayokunywa hapo kariakoo ujazo wake ni kanuni hiyo imetumika, manowari zote zinatumia hiyo kanuni bro
2026-10-14 16:59:10
20
yenzekm
KMKayenze :
Tatzo mifumo yetu ya elimu 2nakopi Kwa wazungu tu hatutaki kuangalia kipi Bora kipi tuache kulingana na uhalisia wa maisha yetu
2026-10-14 16:45:40
15
ezzlebryan1
Bryson malila :
hahahaha...hii inachekesha kama hujakutana nayo.....sasa kinjektile ngware kanifanya niwe dereva roll leooo....ila maisha hayaaqq
2026-10-14 17:04:54
8
yasinshaban7
yasinshaban7 arch :
sisi ambao tumesoma sayansi kwenye kazi zetu tunavkuta vituy tulivo visoma na tuna approve kamaa ii ni kweli ,inabidi ifike stage tujue kutofautishe kati ya elimu na riziki
2026-10-14 18:50:22
8
user38658181359115
user38658181359115 :
walio komaa nayo io Archimedes sasa ivi ni ma engineer wengine madaktari
2026-10-15 08:58:40
8
amandusi.zakaria6
Amandusi Zakaria :
nakubali kaka kumbe mwana tiles mwenzetu tuchekiane mwanangu
2026-10-14 15:22:11
12
ashuraahmed313
Meen :
baba angu anasemaga nimeenda kusoma ili niongeze ujinga
2026-10-14 19:20:09
9
nassoro.mkwanje
Nassoro Mkwanje :
ELIMU HII YA DIGRII NI PRESTIGE CONFIDENCE YAN KUJENGA HESHIMA NA UTUKUFU LAKINI KIMAISHA BADO HAISAIDII
2026-10-15 09:56:29
3
stanleysaronga291
Stanley Saronga :
good, china waliamia kubadili mfumo wa elimu,wakabaki na masomo ya fani tu,Sasa hivi wanaitingisha Dunia kiuchumi
2026-10-14 20:43:26
8
antonygeraldgospel
ANTONY GERALD :
unaambiwa utafute thamani ya X,sahv ukitafuta mtandaon wanakuja watu hawana nguo😂😂😂😂
2026-10-15 02:01:10
7
user6796914175041
user6796914175041kusi :
pay mara kipenyo sijaiona
2026-10-14 17:43:48
5
johnson.gwakula
Johnson Gwakula :
🤣🤣🤣🤣 Tunapoteza muda mrefu buree shuleni... mitaala mibovu xana na ndo mpango wa serilikari ili kutupumbaza ili nchi itawalike.. elimu tunayoipata shule kwa pexa nyingi za tuition mara ma ada kibao.. mtaaani huambulii chochote
2026-10-15 13:04:19
0
eaglre.aye
eaglre aye :
wasomi mpo wapi jamani teteeni hoja huku maana me hii elimu ya tanzania inanichanganya sana miaka saba kiswahili miaka minne unafundishwa masomo kwa kingeleza ambacho shule ya msingi ulisoma kam somo ambalo hata wao wenyeq hawakuliwekea mkazo ili kuku anda na wanatak ufaulu kwa kuemewa mwishowe tunapata wasomi waliokalili sio kuelewa
2026-10-14 16:00:27
5
doreen.willbard
Doreen Willbard :
point nzur sana mungu akubariki bro.🥰
2026-10-14 19:57:36
5
user9432870577937
kevo og :
nimekumbuka iyo topc nilifundishwa sijaishika maana yake mpaka leo😆😆😆😆😆😆
2026-10-14 22:50:04
1
joelalbert11
Joel :
[Tears of joy][Tears of joy] nashangaa mwanangu mm wakuwa fundi ujenzi kweli na kusoma kote huko
2026-10-14 17:50:56
3
tatumangole
Pure black 🖤 :
Mimi n km wewe tu🤣
2026-10-14 18:03:54
1
cutenash08
naxhfatihamadi :
nashkur mung sikuikariri 🤣🤣🤣🤣🤣 hiy kitu
2026-10-15 13:17:23
1
user4855439824619
𝙼𝚊𝚐𝚒𝚎 𝙼𝚊𝚐𝚒𝚎 :
fact
2026-10-14 17:13:18
1
user6639239505136
Jamal ally :
yaani umeongea jambo la maana sana NAFUBOY bora Tusomee taaluma kuliko kufundishana MBU ana miguu mingapi.
2026-10-15 08:12:28
1
aminatundondege
aminatundondege :
Tutakuita mdogo wangu,usikonde,fani ni kila kitu, Hongera mdogo wangu 🙌
2026-10-15 12:05:59
2
mwariko89
Mtoa mohmedi :
Niuzie kazi kaka
2026-10-15 20:04:25
2
user7209202575810
6ñxläüx Mâmbã :
hata Kama mfundixhwe sijui ndo hizo fan mnazo sema lazima tu utumie concept za kielimu maan kila KITU kina principle zake jinsi kinavyo fanya kazi ko usibeze elimu
2026-10-16 12:47:34
4
To see more videos from user @mr.president_nafuboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About