@kidenya0: Vijana 125 kutoka mikoa 11 nchini wamebainika wakiwa wamekusanywa katika nyumba tatu mkoani Singida, baada ya kudaiwa kushawishiwa kutoa fedha kwa ahadi za ajira na mafanikio ya haraka ya kifedha kupitia mtandao wa Q-Net. Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe ameamuru kukamatwa kwa wawakilishi na viongozi wa kampuni hiyo ili wachukuliwe hatua za kisheria. Taarifa zinaeleza kuwa vijana hao walitoa kiasi kikubwa cha fedha wakitarajia kupata fursa za kiuchumi, lakini baadaye wakafungiwa katika nyumba hizo bila huduma stahiki. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi

Kidenya
Kidenya
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 15:07:07 GMT
224000
8725
867
978

Music

Download

Comments

user1619418184762
sagt4 :
VP kuhsu alliance in moshen global
2026-10-14 18:59:24
1
user9244914658581
Joyce levava :
et salamu ni good morning hata kama ni usiku
2026-10-14 17:58:16
164
missrayofficial
Mkinga safi🔥🌸🦋 :
Goodmorning millionaire😁 tumpe maua upline wetu😁
2026-10-15 03:19:07
53
hoice24
miss siana💕 :
Kuna hao wengne wanajiita alliance wapo mbeya siyo pw
2026-10-14 18:56:16
167
sarahmwenda1
officialsarmic❤️ :
😂😂😂😂😂mimi tu ndo walishndwa
2026-10-14 18:32:32
40
justin.pius3
Justin Pius :
m nikiambiwa qnet matapeli siamini na sitakuja kuamini maisha yote kwasababu mbn kunawatu wanaifanya na wanafanikiwa ila kunawatu wanaitumia vibaya iyo tasisi but kampuni haitio kazi but unakuwa mbia wa biashara
2026-10-14 18:44:23
26
user8519658452571
Manyinyi@ :
mimi walinitapeli arusha kule tengeru 7,200,000
2026-10-14 17:53:10
15
ezaxbhoe
ezax bhoe :
Kuna sisi tulio enda. alliance in motion global niatar.... kazii ni kualika watuu 😅😅😅😆
2026-10-15 10:23:12
7
duzyatan..duzyatan
𝗛𝗔𝕱𝖎𝗭 𝘿𝑼𝙕𝒀𝘼𝑻𝘼𝑵🥏 :
Good Morning Hapo Kuna Baadhi yao Wanandoto Ya Kumiliki BMW,Mercedes.Majengo Yakifahari Kwa 3kulia 3kushoto Dollar 250 Huwashauri kitu kuhusu Kuwa Wanatapeliwa Ila Wengine Maskini Hawana Chakusema Uamuzi Hawana Kuwa Adui Na Rafiki yake aliye Muita Inakera sana
2026-10-14 19:29:22
13
s_finetz
S_fine Tz :
nawambiaga hawanielewi pale mlandizi nilitoa semina wakawa hawanielewi
2026-10-15 04:14:09
9
dether528
Dether :
jaman na dodoma wapo
2026-10-15 05:26:49
8
dominicoonesmo
Dominico Onesmo :
mr godwin gondwe upo wap 🥰
2026-10-14 18:27:43
2
user2907805006937
tummy22 :
nilipata funzo la maisha sna hamu na hyo q net
2026-10-14 20:44:30
11
ginimbi.tz
Ginimbitz :
hivi Kuna Neolife na qnet au nielewesheni 🙏🙏
2026-10-14 18:31:58
7
miss.reee1
miss reee :
Duh! sio aho tu ayo makampuni yapo mengi polen😭😭😭😭😭na wengine wanajiita alliance
2026-10-14 18:23:46
8
user17482880432275
user17482880432275 :
Good morning these partners
2026-10-14 19:34:11
1
user1208374516137
B.SPONSOR :
super duper
2026-10-14 19:33:14
2
lbnabbas0
lbnAbbas :
kuna ndug yangu yupo mwanza nikimpigia cm ananiona kama mjinga nimemsubir3🤣🤣😁
2026-10-14 19:07:03
5
itindegirl5
itinde girl 🥳 :
Wafungieni kabisa mm walinitapeli morogoro sina ham nao tena kwenye hii dunia. Na waliniomba 160k kweli 😳
2026-10-14 17:11:01
13
itsrobert05
bob :
wazee wa good morning hadi mchana
2026-10-14 17:11:09
26
pretty.dulle
Pretty Dulle :
mi nilikataa et unatoa pesa yafomu mshahara lak350000
2026-10-14 18:43:58
5
paul.paskali
Mr po69x :
Mimi niseme nae serikali nae ni walarushwa sahv kwann Kila mikoa sahv inae ofisi ya Qnet kama ni watapeli mpaka mtu anaweka picha ya Samia ofisin afu mnasema watapeli hi kitu Mimi sipati picha kabsaa
2026-10-14 18:44:07
7
adelina.jackson1
Adelina Jackson :
mimi wali nitapeli shinyanga kuleee
2026-10-14 17:23:30
7
bilishanga26
Deus bilishanga :
Adi DSM wapo kule mbezi maeneo ya malamba mwisho walinishindwa ki ushawishi na salam yao ndo hiyo Good morning
2026-10-14 21:46:59
7
raphaelboe2
💲it's phaelmotion🌴 :
mimi nipo zangu na sajili line tu apa😁
2026-10-14 18:22:52
8
To see more videos from user @kidenya0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About