@ipickstoretz: NGOZI ZINAWASHA MNO BAADA YA KUOGA LIMEKUA TATIZO LA WENGI ✍️ UNAYEFAHAMU SWALA HILI ZIMA TUSAIDIE MAELEKEZO🙏 KIGAMBONI @ZARY COSMETICS🦋🦋 KIBAHA @Phinabeautystore KARIAKOO @ELON SKINCARE&PERFUME 0676099377 📍ARDHI CITY MALL /KONA YA MAKONGO JUU ROAD DUKA NO 15 #goviraltiktok #Help #skin #antiaging #itching
someone niliona anasema ni water allergies but sina hakika my wang
2026-10-14 22:09:37
0
stranger daughter🖤🌙♏ :
Niko hapa mmoja wapo jamani natumia nusu saa kujikuna ndo upake mafuta uvae nguo🥹🥹🙌
2026-10-14 21:39:45
2
half agent 😘 :
mm nawashwa sana usoni yaan kama Kuna vitu vinachomachoma
msaada madma
2026-10-14 16:14:00
2
Victoria mamen :
Yaani kama nikioga maji barid nachanganyikiwa nakuwa kama akili haiko sawa nakimbilia kwenye jua Kali najikuna na kitana jamani. Nikioga hata mchana naoga maji moto sana ndio nisijisikie kuwashwa. Wakati mwingine siogi kwa sababu hiyo
2026-10-14 22:42:09
0
joliejohn :
Nilijua ni mimi tuuh😏
2026-10-15 02:57:59
0
Just me :
bora nyie mnawashwa huku sisi maji yamejaa mchanga yaan ukifungua Bomba bila kuchuja kila chakula kitakuwa na mchanga
2026-10-14 17:46:51
0
kimnana21@ :
daah afadhalii nmejua ,, nikajuaa lbd siogi vizur
2026-10-15 02:10:03
0
user5403198217977 :
tuko wenngi usoniii Natasha mpaka basiii
2026-10-15 00:29:26
0
AGGIE🤍 :
Chemshen maji kabla ya kuoga
2026-10-14 23:54:10
0
Maggie🦂🥀 :
woyee nilijua ni mm mwenyew kumbe tupo wengi khaaa km tumewekea upupu
2026-10-15 02:03:55
0
Allyahn€Aliyah :
Weeeeee mm huyoooooo 🥺🥺🥺🥺🥺
2026-10-14 23:06:16
0
rosellageunsuk :
jaman sisi yanatoka saa nane za usiku uwiiiii halafu kidogokidogo
2026-10-15 01:37:26
0
ZARY COSMETICS🦋🦋 :
Kigamboni na viunga vyake serum yetu pendwa ya KIMI BONE COLLAGEN PEPTIDE SERUM IPO DUKANI Tunapatikan Kigamboni Darajani Tupigie 0689852288
2026-10-14 15:12:49
1
Caryn❤️🦋 :
Kweli jmn eeh
2026-10-14 22:00:49
0
user7962513760393 :
Leo nimewashwaa mpaka nkachanganyikiwa 😂
2026-10-14 21:58:00
0
mrs Davis Sweetbert💘 :
nikajua ni mimba yngu kumbe kuna shida 🥺🥺
2026-10-14 21:43:12
0
Sereka Cosmetic | Beauty Store :
Nikajua nina shida kwenyewe
2026-10-14 21:44:16
0
Phinabeautystore :
WAKALA KIBAHA #0746255776
2026-10-14 15:23:33
0
lizy Jojo :
nilijua ni mm tu jamani😅
2026-10-14 20:25:52
0
lovie signature :
Nilijua nna ukurutu🥺😂😂
2026-10-14 20:35:08
0
Brightness :
Tuko wengi jmn
2026-10-15 01:54:01
0
ms_docy :
nilijua nna shida nmebadili shower gel mara 2 kumbe ni msiba WA wengi 😂😂😂
2026-10-14 21:30:25
0
Benitha Bonny :
nilijua ni mm . kumbe ni wengi
2026-10-15 03:05:37
0
Farajah😘🥰😘 :
muhanga nip ap jamani nikitok kuoga nawashwaaa mnoo
2026-10-14 21:38:00
0
shaah686 :
Nilizan nimim pekee yang ndio nawashwa 😳
2026-10-14 20:15:17
0
To see more videos from user @ipickstoretz, please go to the Tikwm
homepage.