@pmakanshu_life_revival: Inawezekana kupona ugonjwa wowote bila dawa, Tunatumia dawa ili kurahisisha mchakato wa uponyaji, Kula Vyakula sahihi ndo njia sahihi ya kuweza kujikinga na kutibu ugonjwa wowote Watu wengi tunatumia dawa bila kuelewa mchakato wa uponyaji unavyokuwa. #kuishibilamagonjwainawezekana #creatorsearchinsights #healthandhealing
Praxeda Makanshu
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 15:12:59 GMT
Music
Download
Comments
Juliana💓 :
mimi nilipona kabisa nilipewa Dawa za kienyeji nakula Kila kitu
2026-10-15 01:39:17
9
H Shabani Malilo :
nierekeze dada mm nipo tayali
2026-10-19 20:29:59
1
precious veroh :
mama help me plz
2026-10-14 20:55:05
2
selestin :
nisaidie
2026-10-14 19:11:01
1
lily family❤️❤️❤️ :
shida maelezo yanakuaga mengi kulikonkutushaur nn chakufanya🤣wacha tutaendelea kumez helgokit mpaka siku Mungu atakapoamua
2026-10-16 09:18:49
3
Amina :
na sisi tunahitaji
2026-10-17 12:39:57
1
African princess 001 :
saidia wanao mama please naeza pta number yako
2026-10-15 19:46:58
3
Hawe Risa :
Nina vidonda vya tumbo
2026-10-15 18:14:18
1
Princess @ :
Naomba unisaidiye nina acid
2026-10-15 14:44:58
1
Marie Luvungu :
bibi basi leta number mimi niko Congo province lubumbashi
2026-10-16 13:44:14
1
FATMA NKYA :
h-pylori ni ugonjwa gani
2026-10-15 07:51:32
0
user1301329847790 :
naomba mawasilano yako
2026-10-21 21:29:24
1
steveni :
nipo kwenye hiyo dozzz mpka lakini mpka Sasa dozi ipo mwishoni lakini bado tu
2026-10-19 10:35:14
1
user9367058812290 :
nisaidie
2026-10-15 12:45:17
1
advicer wa loima :
mimi niko na hiyo kitu nifanye nini ndio nipone
2026-10-21 16:38:35
1
Upendo kalinga :
naomba nishaur na mimi
2026-10-21 12:02:25
1
umutuzo :
tupe erimu
2026-10-16 12:40:07
1
Brenda Mkandawire :
please help me
2026-10-17 15:24:07
1
asnahat :
Nakupenda Sana mama ,nakutafuta sikupati
2026-10-14 16:35:29
5
Mark Murithi :
mm gaur inanisumbua na acid
2026-10-15 18:13:53
1
josephshem16 :
number zako Dada yangu
2026-10-15 19:18:21
1
KALARA :
mm niko kenya,nikule chakula gani
2026-10-20 13:40:54
1
BL :
napataje mawasiliano yako
2026-10-15 15:39:34
1
steveni :
mama kesho jumanne nakutafuta nimepimwa na kukutwa na h y prol ila pia kushoto ya tumbo langu Kuna maumivu makali kama kisu kinapita
2026-10-19 14:39:34
1
user6167599147051 :
naomba Namba yako ninaumwa Sana Vidonda vya Tumbo
2026-10-15 08:24:36
1
To see more videos from user @pmakanshu_life_revival, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.