@visitngorongoro: Ebu mtag MAMA PAU 🥹 Umeshatupigia kura? Link ipo kwenye bio. 1. Tembelea https://www.worldtravelawards.com/vote 2. Jisajili kwa kutumia barua pepe yako na uthibitishe akaunti kupitia ujumbe utakaotumiwa. 3. Chagua eneo la World, kisha tafuta kipengele namba 279 – World's Leading Tourist Attraction. 4. Chagua Ngorongoro Conservation Area na ukamilishe upigaji kura. Kura yako ni sauti ya urithi wetu. Kura zetu, ushindi wetu! #karibunyumbani #wondersarecalling #experiencethewonders #destinationngorongoro #visitngorongoro
Ngorongoro Conservation Area
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 15:15:59 GMT
Music
Download
Comments
fortunatus_ :
admini sasa mama pau kafanyaje 😏
2026-10-14 15:20:53
39
Yasmin Tasty Kitchen🇹🇿 :
Admin kama kuna mambo ya comment we tueleze tuu 😂😂😂
2026-10-14 15:32:25
6
ẅakala msaf!🛀🍁 :
mtaachana tuh💔😑
2026-10-14 17:05:56
17
Salumu ibrahimu01 :
Admin mbonaa unanipost sana kwani unataka nini😂
2026-10-14 18:00:29
2
Ommy_ley ²¹ :
Nice Couples ❤️😍
2026-10-14 16:00:45
0
Mkingajr27 :
Ila Harmonize
2026-10-14 15:19:07
7
shey :
namm nataman nimpate tembo mmoja anipende kama hivi 🥺🥺😂😂😂
2026-10-14 15:19:00
12
Yasinta Nyagea :
kam tembo wanapendan hv mbn mm nafeli jamn[Tears of joy]
2026-10-14 17:44:31
0
🙆♀️ :
harmonize
2026-10-14 16:28:59
0
Rose 🌹 :
nikupiga tu kura sio mambo ya comment tushangaze tena ulimwengu
2026-10-14 15:19:43
8
Calvin Gladson :
wakwanza
2026-10-14 15:18:32
6
Car spotter tz :
Mama pau au na pau 😂
2026-10-14 15:24:04
1
secret gal😍😝 :
admin nielekez namna ya kupiga kura nmeshindwa
2026-10-14 15:46:42
1
A.J.S :
Dear admini, kura yangu mnayo 😁😁
2026-10-14 17:12:04
1
King Chest :
2026-10-14 18:16:25
1
Juvenation :
ila admini😂😂😂
2026-10-14 15:19:07
3
yaseer ramadhan [ NJEMA ] :
apo ndo romance mwanangu unaambiwa
2026-10-14 15:57:30
3
Boneklantz ⚡ :
Admin unatumiaga hisia sana kazini 😂
2026-10-14 17:19:40
0
Young ndaba de Collins :
Admin unataka kula afu Watu hatujui jinsi ya kupiga maana kwenye hiyo website mambo mengi 😁kule tengeneza hata video 🥲
2026-10-14 16:17:42
0
Dalali Ally Star Dodoma :
imagine mpaka wanyama wananipita yan Mimi wakula nyeto mpaka Leo hiii
2026-10-14 15:20:18
0
Ninah :
😂😂💔dahh
2026-10-14 18:28:01
0
happy :
kwa herufi kubwa TUNAPIGAJE KURA
2026-10-14 18:23:24
0
slim :
kwaio me na ke
2026-10-14 18:22:00
0
Ern :
Sasa haya ndio mapenzi mazito😅
2026-10-14 18:17:17
0
Essential :
vinamuda basi
2026-10-14 18:39:43
0
To see more videos from user @visitngorongoro, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.