Na ndiooo maana nipo na baba yao watt wangu haijalishi napitia yepi kikubwaa watt wangu wanafura na aman Allhamdulillah
2026-10-14 19:23:58
11
Mrope family 32 :
jamani mauaji yamekua mengi sana kwa sasa serekali aingilie kati
2026-10-15 04:05:24
1
Vance boy tz :
ila na huyu dada alishindwa kwenda polisi huu muda anaambiwa hayo maneno maana angeinda polisi hata yasingefika uko daaaaaah. so sad sana
2026-10-15 03:45:29
1
Sha :
shaidi tunaye tunatamba naye
2026-10-14 22:39:27
1
Chuwa :
Dah jaman
2026-10-15 02:49:35
1
Abdalakibelo :
huu nimwisho wamwiso wa dunia Innalillah wainaiyh rajiuni
2026-10-15 03:15:16
1
chincooi :
hii dunia imefika mwisho jamani mpaka kuua mtoto kweli
2026-10-15 03:56:40
1
samson mbezy :
pole sana
2026-10-15 05:28:30
0
SHANIFA :
duuuuu!!! 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
2026-10-15 04:25:40
0
madamsara7 :
Tuwe tuna angalia wanaume tunao olewa nao
2026-10-15 05:23:05
0
Habiba Kisalazo :
jamani mbona aijaelewa nasikia tena kinondon kwaiyo matukio yametokea mawili na nambagala au mimi ndy sijaelewa?
2026-10-15 04:38:29
0
glory Alfred :
daaah Vin umeongea point kubwa sana kakangu mpka nimelia
2026-10-14 18:51:38
2
davc Jackson :
kwao kaka vp kuhusu chenjaa
2026-10-14 17:43:41
3
mzee kizamile :
ww umejuwaje yote hayo
2026-10-14 22:57:02
0
Jafari Ndege :
daa Aya bwana tuendeleeni ila mungu yupo jamani
2026-10-14 21:42:02
0
swaum malik🎀 :
mm nitareye mm mwenyewa t
2026-10-14 21:37:35
0
Robertoo swagz :
Daaah
2026-10-14 17:53:34
0
KΔRΔBØI † :
duuuh 😭😭
2026-10-14 17:33:27
0
Sir Becka 0 :
kitu cha kwanza kabsa ..kabla hujaingia kweny mahisiano zingatia sana ..n kwa namna gani mpenz wako anaweza kuhandle hasira
2026-10-14 17:50:53
2
lagu :
daah unamdhuru vipi mtoto Tena aliyekuzoea daah
2026-10-14 19:59:03
1
titowatito carlos :
duu donimehelewa kbs leo nileshida nafatiliya iyi stori nilikuwa bado kuhelewa nini kimesababisha uyu dg kuwawa . du mungu amlide uyu dg kafiya pezilamama duniya burekweli nimeliya mm
2026-10-14 23:12:50
1
DONATLA BENARD :
mm atar san
2026-10-14 17:46:00
1
frank jone :
2026-10-15 04:14:57
0
Sherry :
kwanini mama hajayenda
2026-10-15 05:20:02
0
itcnilka🎀💎 :
Kama ww
2026-10-14 19:17:38
0
To see more videos from user @vin___lubs30, please go to the Tikwm
homepage.