@uniguidetz: Mhitimu Bw. Abdallah Hussein Sharif ambae ni miongoni mwa wahitimu waliofaulu kwa Daraja la juu kwa kupata wakia (GPA) wa 4.8 katika fani ya Sayansi ya Hisabati na Takwimu.

University Guide Tz🎓
University Guide Tz🎓
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 15:24:12 GMT
160987
11843
187
328

Music

Download

Comments

nivasonpetermuchhunguzi1
nivasonpetermuchhunguzi1 :
Mathematician and statistician tujuane hapa
2026-10-15 04:48:52
1
user8282200476127
BIN SEIF18 :
ila wazanzibari tunaakili sana🥰
2026-10-14 19:12:09
68
godfrey.andrea41
Godfrey Andrea :
congratulations bro me too
2026-10-14 16:00:10
65
nonorukia.mohamed
nonoòRukia Mohamed :
congratulations bro am appreciate this
2026-10-15 12:36:15
0
johnma20219
Johnma2025 :
Nilijua Tu Lazima awe Ndugu yake Jihan hii familia wameamua Hu mwaka
2026-10-14 17:55:42
51
panafricanmobilelibrary
Anna Meleiya Mbise (Chuganese) :
Hongera sana! Huwezi kufuzu kwa kiwango hiki kirahisi!! Umakini na kujituma na Mungu akabariki
2026-10-14 18:23:16
211
soudsaady
binmasoud :
mm ninayo GPA ya 3.8
2026-10-14 20:42:52
12
paulmwajungwa
Paul :
congratulations bro
2026-10-15 14:08:38
0
gloria.galima0
Gloria Galima :
congratulations ccy😍😍
2026-10-14 15:33:34
14
user1833355538839
Janeth😋🥰 :
..kumbe inawezekana na mim nikasome tuuh
2026-10-14 16:33:51
24
oliva.cute.09
Oliva cute 09 :
waooh Bsc.mathematics & statistics in town 🌹🌹
2026-10-14 16:36:26
29
ihdin_nasr
Iniad-Nasr :
congratulations kk, tukutane mtaani mm nna GPA ya 4.5 ila...., mtaani wenye GPA ya 2.9- 3.5 ndo wanadunda mtaani, ila hv vitu kila mtu na nyota ake bana, kila la kheri
2026-10-15 06:29:26
16
mosam.mlali
Mosam Mlali :
FURAHA YANGU KUMUONA KIKWETE MZIMA WA AFYA!!
2026-10-15 05:26:34
11
ginga.boy69
ginga boy :
huyuu kaka namjua Sanaa coz yeye na kaka yangu wote ni wakaka😂😂
2026-10-14 16:46:03
12
fatnaissa3
MUDH-HIR :
hongera sana
2026-10-14 15:58:40
1
miss_anjoury
Anjlom🥰❤️ :
babe wang akitajw hiv naend kumu hug apo apoo😌❤️
2026-10-14 17:13:36
6
user77045257963096
Renny :
congratulations
2026-10-14 16:47:10
0
meeey17
. :
mi stak kutajwa apo mbele wataniroga
2026-10-14 17:16:49
13
user7153095951863
GreJoste :
Hizi baraka 🙏naziungamanisha kwa watoto wangu🙏🙏
2026-10-14 17:27:29
6
user25010100659216
songe de hakimu :
kawa best kwa kozi yake cyo
2026-10-14 18:28:09
6
biabumohamed
mama afay :
Pemba ni moja tuu pemba oyeeeee
2026-10-14 17:15:39
8
stk_coaching
Stk_coaching :
kikubwa tumshauri ndugu yetu awe freelancer , otherwise mfumo hauna huruma ni huzuni [Embarrassed]
2026-10-15 19:43:11
0
user5143277246381
Mizani_ya_Imani :
karibu kitaa
2026-10-15 08:44:47
0
saidi8010
Sidbrandy :
mimi nina GPA YA 5 DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE ILA KINACHOENDELEA MTAANI NIPEN LESO KWANZA NICHEKE🤣🤣
2026-10-15 14:10:24
1
ericalen7
ericalen7 :
nilipata 3.2 ila nakunja above 5 kila mwezi wala sina stress na kazi
2026-10-15 15:48:23
1
To see more videos from user @uniguidetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About