@simba_aluminium: ✨cm 10 profile kioo mm 5 quarty sana utaipata kwa 190,000 kwa square meter na muonekano wa kisas usiopitwa na wakati ubora wa kudumu zaidi💪🏽 #tanzaniantiktok🇹🇿🇹🇿🇹🇿fyp #mwanzatanzania🇹🇿 #bongofuntiktokers💜❤️ #trendungvideo

simba_aluminium🦺
simba_aluminium🦺
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 15:33:13 GMT
36689
950
63
158

Music

Download

Comments

stortinget3
Next King 🤴 :
Nipe price cost ya Dirisha lenye ukubwa huu: UPANA 150CM, UREFU 165CM, NA JINGINE UPANA 200CM, UREFU 165CM. Nina madirisha 9 yenye ukubwa wa upana 150 cm kwa urefu wa 165cm ,na hiyo ya 200cm upana kwa urefu wa 165cm lipo moja. Kama mpo serious nipe hiyo hesabu tufanye kazi
2026-10-15 07:25:55
1
sharifastoretz
Sharifa :
Hilo dirisha ni mita ngp
2026-10-15 08:18:32
1
marian.nyisoti
Milly✨ :
kama hilo apo Bei gan tajir
2026-11-08 04:57:45
0
abdulrazackjutta
abdulrazack jutta :
vp bro
2026-11-07 07:57:53
0
mom.dannie
mom Dannie :
huo msumari una ncha kweli!.! nakuja na msumari wangu kutest🤣🤣🤣
2026-10-18 18:20:53
1
humblegirl760
peter Malongo :
ninasite Mwanza
2026-10-15 02:43:30
2
aisha.mussa080
Aisha mussa عايشه عايشه :
niko mwanza nataka
2026-11-04 16:24:20
0
aggie704
Aggy @MAMA E. :
5/6 dirisha inakua bei gani??
2026-10-14 21:38:45
0
priscamajura8
priscamajura :
hivi mtu akiwa nje ya Dar gharama ni za nani?
2026-10-30 06:44:31
0
christinamahuli1
simiyu kwetu#@ :
ngoja iiseve video yako nitakucheki nikifiki hatua ya kuweka mafirisha
2026-10-20 18:40:23
1
sheilah.juma5
Sheilah Juma :
Apo ni kioo na wavu ndo 190000
2026-10-19 21:11:23
0
kagogo69
kagogo :
hili ni ngap kwa ngp
2026-10-17 16:00:25
0
jkidoty
Jacky Paul :
mazurii sana na mmetisha sana kwa kuandika bei,mtu anajijua kabisa ajipangaje
2026-10-16 03:51:43
1
iddikaseja3
iddikaseja3 :
dirisha la futi 6 na futi 7 ni sh ngpi kwa dirisha moja
2026-10-16 08:29:53
1
makanga.jr
MAKANGA JR.🥰 :
kazi kali sana
2026-10-15 12:39:31
1
careedo
careedo :
Mnapatikana wapi
2026-10-16 12:32:11
0
user7417420050553
user7417420050553 :
dirisha la cm150-130 nibeigan
2026-10-16 18:56:40
0
user6111887873206
user6111887873206 :
Tumeanini boss
2026-10-17 05:26:20
0
zamzamhasani34
official nyanza :
ngoja nimalize ntawatafuta
2026-10-15 17:33:39
0
pizomaker
PIZO MAKER🤩 :
mfano durisa ya futi 6*6 shingpi
2026-10-17 12:18:35
1
rehema.charles46
Rehema charles :
dirisha langu ni up 5 uref 6 bei gan
2026-10-28 10:23:15
0
wakudiziman
sheby :
kaka
2026-10-19 12:46:48
1
keywwwtik5
wezy key :
gud
2026-10-14 16:18:19
0
hawa.ndundwi
Hawa Ndundwi :
ilo dilisha shingap
2026-10-16 09:50:33
0
omarhomes.tz
Omar Homes :
2026-10-16 06:52:30
2
To see more videos from user @simba_aluminium, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About