Dah naumia kama ndio nafanyiwa mm yani kaka huyo analia kwa uchungu sana
2026-10-14 17:43:30
10
De maro :
Asa mtu mpaka amemaliza kujenga kwanin wasinge mwambia kama hapa sio sehemu husika kabla ajaanza ujenz🥺🥺🥺
2026-10-14 17:24:25
4
Mohd9095 :
Hii ndio maana ya 5 TENA
2026-10-14 20:00:29
4
Abubakary🇹🇿 Tz 🇹🇿 :
kafanyj tena uyu
2026-10-14 17:29:52
4
C̶h̶a̶z̶i̶v̶in :
Sema nini wakuu mungu atalipa kwa hili walilo mtendeq
2026-10-14 21:25:06
1
official code 982771 :
ila hii serekali.... mtu anapo milk ariz kwanini wasimuoneshe mipaka halis... yaani mpaka anapewa kibali cha ujenz, anajenga leo mnakuja kumfanyia hivo... hao viongoz wa chini kazi zao ni nini sasa kama wanashindwa kuwasaidia wananchi ata kufata mipaka wakat wa ujenzi
2026-10-14 20:25:35
1
siyengo :
tuache mazoe sheria inasema eneo likiwa na mto inapaswa kuwe na mita 60 kila upande ndio shunguri za kibinadamu zifate baada ya hizo mita 60 sasa kwa vile huo mto ng'ombe upo dar serikali iliweka mita 7 kila upande sisi wanainch ndio tumezifata hizo mita saba acha serikali nifanye kazi yake hapo mto ukifunika maji yakaingia kwenye hizo nyumba rawama tutapeleka kwa serikali tena huruma sio malezi
2026-10-14 19:55:36
1
kingDima :
pisha mbele kushakuwa kugumu Op anaguata maelekezo ya msitari tu 😄😄😄 tuwe wapole ndugu
2026-10-14 21:08:55
1
danina ANGELO ♥️ :
daaah ad nimelia
au awajui maumivu na gharama za kujenga mwenyew kajidunduliza 😭
2026-10-14 18:19:07
3
s,pixel :
labda xio Mimi
2026-10-14 18:47:52
0
𝖑𝖎𝖑💫ˢᵀᴼᴿᴹ🌪️𝘣օ𝓍🧰 :
MITANO TENA
2026-10-14 18:02:37
1
IBRAHIM GRAPHICS :
dah hapo mara anarariki nanyeye
2026-10-14 17:48:11
1
matengo :
hii.ndioo.tz
2026-10-14 18:03:06
1
Ajumsh :
duuh mguvu ya mtu so p inauma
2026-10-14 17:53:02
1
TT.SUMA :
watu wanapenda kurudishanya nyuma aisee
2026-10-14 23:03:19
0
King 👑 Kimwer :
Hata kama siyo yote br ila ilotumika hapo n pesa
2026-10-15 01:20:46
0
emmafilimoni :
kuna mda unatamani umuonee mtu huruma ila ukikumbuka kuna mda kwenye kujenga hua wanajiongeza wanasahau kesho inabidi unyamaze to
2026-10-14 23:10:31
0
FAHMI TANGA MJINI :
yaan watu kama duniani tutaishi milele vile
2026-10-15 00:52:05
0
Tynah💓💖 :
Kwan haiwalipi?
2026-10-14 23:38:30
0
To see more videos from user @faridyblack07, please go to the Tikwm
homepage.