@motownsanya: Aliandika @chilambo20 Mwaka 2022 May 28 Ipo siku utashukuru sana Mungu na Kugundua kwanini alikufanya usubiri Kuna wachezaji wanacheza mpira, na kuna wachezaji wanaoacha alama uwanjani! 💪⚽ Chilambo ni kijana mwenye uwezo, nidhamu na kiu ya mafanikio. Kila nafasi ni fursa ya kuonyesha ubora wake na kupigania nembo ya Simba SC. Huyu @chilambo20 ni hatariiiii @wadaukwenyeindustry Chimbo @keka.app
Motown Sanya
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 16:39:39 GMT
Music
Download
Comments
Mr SmilE😃 :
kwa ajili ya chilambo weka likes za kujazo 👍
2026-10-14 19:13:35
12
Mudy Rai 55 :
wakat wamungu ndio wakat sahihi🙏🙏🙏
2026-10-14 18:41:45
12
gynah260 :
Faith over fair
2026-10-14 20:24:04
0
BA MGWANII👑 :
tusimsahau kibabage jmn
2026-10-14 19:01:40
5
QG :
mungu🤲🤲🤲 ampe mafanikio makubwa sana chilambo
2026-10-14 19:08:50
6
MBIDY JESHI🍁🚭 :
2026-10-14 18:16:51
3
Mr fabby. :
mo town 🔥
2026-10-14 18:25:30
0
BACKBENCHER :
Mungu fundi
2026-10-14 17:43:23
2
Hamis Kabo🤫 :
nakubaliana na wewe Sanya
2026-10-14 19:05:37
3
Majeje Iddi :
ata mimi kaka
2026-10-14 18:50:14
1
Jepha 💸💸🤑🤑 :
town sanya
2026-10-14 16:47:56
1
Jr🧢 :
wakati wa mungu ndio sahihi🔥🔥
2026-10-14 23:16:35
0
zidanenjamasi :
anajua sn
2026-10-14 18:57:00
0
abuu@sanya👏 :
bro sijawahi kkulinga
2026-10-14 18:36:45
0
Augustine Kytoff :
naqubal kaka
2026-10-14 17:36:49
0
AYMAN 21👷🏽♂️ :
nomaaaa
2026-10-14 19:17:07
0
Kevin_five_star :
mkali🙌⭐
2026-10-14 17:47:10
0
Emmanuel William :
2026-10-14 18:48:42
1
Michael :
hakuna mchezaji aliotoka Azam akaja simba akawa mzembe futilia hyo
2026-10-14 18:19:36
1
Tongo Visca :
malim zingizini momo za ndani kabisa alisema kapombe mwenye ndio alimpont
2026-10-14 18:12:48
0
KATEL📱 :
Na aliemleta Dumbia mbinguni atapasikia tu😂🤣
2026-10-14 17:45:36
0
JAYⓂ️ :
Yani nilikuwaga nawaza nani ataziba pengo la kapombe maana wamekuja wengi saaana wameshindwa hatimaye kweli nyakati za mungu ndio nyakati sahihi
2026-10-14 21:37:23
0
yuzø_nation💎🌹 :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-14 16:45:12
1
Berosha :
👏👏👏
2026-10-14 20:08:50
0
Madinda80 :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-14 17:06:38
0
To see more videos from user @motownsanya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.