Kaka one day yes nitakuja nyarugusu nikuone tu mungu anipe kibari
2026-10-14 17:01:06
0
John Fundisha Update :
Nyarugusu nitafikaga kweli[Tears of joy]
2026-10-14 21:18:03
1
Sam Nails Tech :
keep going bro
2026-10-14 17:30:30
0
Bilove 💕🫦 :
Amen🙏🙏🙏
2026-10-14 20:09:13
0
Minister Acrey1 :
kila ngoma ya moto piga kaz kaka watu waokolewe
2026-10-15 08:58:15
2
ZØMBIE BWOY75 :
kijana wetuuu ishi sana
2026-10-14 17:00:13
1
PENDEZA MWASHITE :
mungu akubariki sana kaka yng
2026-10-14 20:45:35
0
*_ChaCha_* :
Tuna Subiri 🔥🔥
2026-10-14 17:47:38
0
MOSHI MAMBO :
mdogo wangu kila siku kwetu dua
2026-10-14 17:23:02
0
William Djuma fils :
Mungu aku bariki sana ndugu yng
2026-10-14 17:52:18
0
It's Anna 💫🥰 :
Amen sana kaka
2026-10-14 21:48:48
0
marselinajamess :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-17 12:11:12
0
INNOCENT ZUMBE :
endelea kaka ila isiwafuate kina nyago man
2026-10-15 21:21:13
0
Inosé🫰🫠 :
Amen
2026-10-15 01:35:57
0
Trondheim boy :
Tunasubiria sasa album tusapoti pia🔥🔥🔥🔥
2026-10-15 10:08:36
0
R♥️P :
barikiwa sana🙏
2026-10-16 13:13:37
0
Noela Bendera. :
Amen 🥰🥰
2026-10-15 16:02:08
0
William Djuma fils :
bro nime barikiwa sana na ili nyimbo lako !
ila nakuja na itaji kwako kuomba ruusa kwako ni fanze remix ya iyi nyimbo lako ! yani niiimbe deuxième couples 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
uki pata na fasi yaku soma! basi nangoja jibu lako