@sayyed.og.com: Beti hii Adhwimu inapatikana katika dua ya JALJALUUTI. Beti hii ndani yake imebeba majina matukufu ya mwenyezimungu, Majina hayo ni (يَاهٍ) maana yake ni (هُوَ الله), na jina lingine ni ( يُوْهٍ) maana yake ni ( أَلْأَوَّلُ وَالأٰخِرُ) . Majina haya hufunguwa milango ya kheri na rizki katika maisha ya mwanadamu. Napia majina haya husababisha mtu kupata kazi kwa haraka sana, Hii ni siri kubwa iliyojificha katika beti hii adhwimu . NAMNA YA KUFANYA: Kama unatafuta kazi au unataka mwenyezimungu akufungulie milango ya rizki,basi kuwa unasoma beti hii mara 21 kila siku asubuhi kabla ya jua kuchomoza, ukishamaliza kusoma usisahau kutia nia mwenyezimungu akufungulie milango ya rizki na akujaaalie upate kazi kwa wepesi. Kwa hakika hazitopita siku 14 mwenyezimungu atakujibu maombi yako, na utapata kazi,napia utafunguliwa milango ya rizki kwasababu umejua siri iliyojificha ndani ya beti hii kwa kupitia majina matukufu ya mwenyezimungu. Inshallah

Sayyed abuu shamhuurash
Sayyed abuu shamhuurash
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 17:06:08 GMT
2389
233
0
9

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @sayyed.og.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About